ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
hongera mamito! uzidi kung'ara humu jamvini1
lakini mbona kama hii sredi nilishaisoma.....? (sijui nazeeka?)
Hongera sana bibie!
shukrani nipo hapa mlangoni
unatakauandae maneno ya kunitongoza??
Umejuaje? But please usinikubali haraka...:A S 101:
shukrani nipo hapa mlangoni
najua easy come easy go.
Kwa taarifa mi sasa hivi nimeolewa hapa nimetoka kutenga chakula