Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
Hongera
Yani umeongeza furaha ndani furaha na ikapatikana furaha iliyojaa furahia kwa sana nashukuru kwa gift uliyonipa yani ni wewe umeonesha upendo wa agape asante sana
hongera sana ladyfurahia
hongera ...
'aka bee' hujala BAN? hongera mwanajamvi bora!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hongera mama mchungaji ladyfurahia
Hongera
I hope ni chakula cha jikoni na si kile kingine maana nna wivu sana mimi...
Hahaha...usiponpeleka nakusemea kwa sosoliso kuwa siku hizi umepata m-South Africa!!! da ila dada we noma...ulivyom-hug:mmph: