Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
umeuchuna sana! ntakuwa sikuchukui LTHP!!! au hutaki kutembelea masaburi?
Alaf wewe nikikukamata!!!?
umeuchuna sana! ntakuwa sikuchukui LTHP!!! au hutaki kutembelea masaburi?
ladyfurahia samahani maelezo mengi kweli na sasa bado nawajibika hivyo sijasoma palaglafu yote, nitarudi baadae but oli in oli Ubarikiwe kwa kufikisha miaka 2 bila hata ka ban.... karibu sana
Damm!!! Umefanya nini sasa!!?
mitaa gani tena kakajana nimekatisha mitaa ya kwenu nikasahau kabisa kama uko mitaa hiyo, hawa yu?
mmenitengaWewe mtoto unakatika katika sana! Nini mbaya!!?
ila wewe nitakuwa nakuibiaibia si unajua penzi la wizi linavyonoga
mmenitenga
hongera mamito! uzidi kung'ara humu jamvini1
lakini mbona kama hii sredi nilishaisoma.....? (sijui nazeeka?)
Hongera sana rafiki.....
tunaamini tutaendelea kupata michango yako humu jamvini
View attachment 93145Hongera mamie
najua easy come easy go.
Kwa taarifa mi sasa hivi nimeolewa hapa nimetoka kutenga chakula
umeuchuna sana! ntakuwa sikuchukui LTHP!!! au hutaki kutembelea masaburi?
mi mzuri?Siwezi kutengana na binti mzuri kama wewe! Embu kuja zis wei ni du the needful!
Hongera sana. Nimekuwa wa kwanza kukupa hongera.