figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
hongera sana!. mia
Hongera kwa kutimiza miaka miwili hapa JF ladyfurahia
chakula kanianza mimi kamalizia na cha jioni
Kumbe ndo maana...haalfu ndo tabia gani ya kutopokea simu wangu!??? nimekubip mno jana...:angry::redfaces::angry:
Hongera ladyfurahia kwa kutimiza mika 2 hapa JF..
Kumbe ndo maana...haalfu ndo tabia gani ya kutopokea simu wangu!??? nimekubip mno jana...:angry::redfaces::angry:
hongera sana!. mia
wewe ndo yatosha??bwana eeeeee nilikuwa namtumikia mume
ooo am sorry my dia simu nawekaga rum mie nipo mtaa wa 2 ila nlivyorudi nikakutwangia hukupokea teh teh hapa naona ulilipiza
Hongera ladyfurahia kwa kutimiza mika 2 hapa JF..
sasa hizo hongera unanipa mimi au unajipa wewe mwenyewe bestito sikuelewi mwambie Mwita Maranya aache kuchungulia atupe japo lake jambo hapa
hapana si kulipiza..nlikuwa na wifi yako.
Magazeti yako mbona umeniachia? Halafu yananukia shemeji yako akadhani ndivyo sivyo!!!!:angry:
Hongera ladyfurahia kwa kutimiza mika 2 hapa JF..
Hongera yako ladyfurahia kwa kutimiza miaka miwili hapa JF tena bila kulambishwa ban!
Itabidi nikutafute tufahamiane we jirani yangu. Nina nyumba ''kubwa'' huko kigamboni, mitaa ya tungi mwembeladu!
ladyfurahia haya nimeingia ndani ya nyumba nakusikiliza wewe bibie.
Hivi Kigamboni unapatikana mtaa gani? Nakaribia kuunganisha dots...
haya bana
anaishi mume wangu uko mm huwa naenda kufua nguo zake siku za weekend bestito