Ungana nami kufurahia kutimiza miaka 2 ndani ya jf

Ungana nami kufurahia kutimiza miaka 2 ndani ya jf

hivi wewe ladyfurahia hutambui uwepo wangu @c6, au hujui km mimi ni mkongwe humu jukwaani. tangu mtotosix mpaka leo, hebu nitaje bana
 
Last edited by a moderator:
samahani bestito kwani furaha ikizidi unasahau wale wakongwe samahani sana haya nawe nakutaja usiboreke bestito
hivi wewe ladyfurahia hutambui uwepo wangu @c6, au hujui km mimi ni mkongwe humu jukwaani. tangu mtotosix mpaka leo, hebu nitaje bana
 
sema hapahapa utanifanya nini?!?!?!?
next wiki nakuja arusha! naogopa mabomu so nahitaji ulinzi wa kutosha
cc Arushaone Erickb52 na wewe mwenyewe
Karibu sana Paloma
Mi ndio b52 hakuna wa kukutisha...!
Usalama wako nitauhakikisha kwa asilimia mia na atakayetaka kukusumbua nitamfumua kwa B52 hadi ajute.
Karibu sana!
 
Hongera sana dada yangu ladyfurahia
Nilikuwa mapumziko na wifi yako Chocs ndio maana nimechelewa kuja kukupa hongera.
Tunafurahi kuwa pamoja humu jukwaani na tumuombe Mungu aendelee kutuweka pamoja daima.
I real Appreciate you madame.
 
Last edited by a moderator:
thanks my bro.
heee! umebadilisha avatar yako tena makubwa haya!
Hongera sana dada yangu ladyfurahia
Nilikuwa mapumziko na wifi yako Chocs ndio maana nimechelewa kuja kukupa hongera.
Tunafurahi kuwa pamoja humu jukwaani na tumuombe Mungu aendelee kutuweka pamoja daima.
I real Appreciate you madame.
 
yani bado unaendelea itabidi sasa nikufunge minyororo ili utulie hasa nikufunge huko chini ili nako kutulie maana naona nitaletea wageni muda si mrefu
This calls for a meeting kati yangu na wewe TU!
 
Back
Top Bottom