Ungana nami kufurahia kutimiza miaka 2 ndani ya jf

asante nawe pia wakaribishwa home kutakuwa dinner party pale kigamboni ukivuka tu niPM nitakuja kukuchukua kama uko dar
ladyfurahia samahani maelezo mengi kweli na sasa bado nawajibika hivyo sijasoma palaglafu yote, nitarudi baadae but oli in oli Ubarikiwe kwa kufikisha miaka 2 bila hata ka ban.... karibu sana
 
best hapana kwani jana nilisema kuwa naelekea kwenye kutimiza hiyo miaka na leo ndo nimetimiza kamili on gado asante kwa comment yako nimeipenda
hongera mamito! uzidi kung'ara humu jamvini1
lakini mbona kama hii sredi nilishaisoma.....? (sijui nazeeka?)
 
asante sana nimefurahi sana nitakuwa nanyi daima rafiki karibu dinner party inafanyika pale kigamboni
Hongera sana rafiki.....
tunaamini tutaendelea kupata michango yako humu jamvini
 
najua easy come easy go.
Kwa taarifa mi sasa hivi nimeolewa hapa nimetoka kutenga chakula

I hope ni chakula cha jikoni na si kile kingine maana nna wivu sana mimi...

umeuchuna sana! ntakuwa sikuchukui LTHP!!! au hutaki kutembelea masaburi?

Hahaha...usiponpeleka nakusemea kwa sosoliso kuwa siku hizi umepata m-South Africa!!! da ila dada we noma...ulivyom-hug:mmph:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…