Ungana nami kufurahia kutimiza miaka 2 ndani ya jf

Yani umeongeza furaha ndani furaha na ikapatikana furaha iliyojaa furahia kwa sana nashukuru kwa gift uliyonipa yani ni wewe umeonesha upendo wa agape asante sana

Pamoja sana ladyfurahia
 
chakula kanianza mimi kamalizia na cha jioni
I hope ni chakula cha jikoni na si kile kingine maana nna wivu sana mimi...



Hahaha...usiponpeleka nakusemea kwa sosoliso kuwa siku hizi umepata m-South Africa!!! da ila dada we noma...ulivyom-hug:mmph:
 
Me ndio maana sitoagi hongera zangu sometimes because some people do not appreciate
 
asante mwaya sijala BAN nimefurahi sana na leo nimemfanyia mtu mmoja surprise jioni hii ya leo ameshangaaa na kashtuka hakuamini kabisa
'aka bee' hujala BAN? hongera mwanajamvi bora!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nimewaona wala hawanisumbui kwani kwangu Mentor amefika na ameoza kaabisa kwa mavituz ninayompa kitandani we acha wacha waangaike watabloo wenyewe na watamwacha kwani mm ni zaiidi yao
Umewaona hao?
 
Last edited by a moderator:
samahani kwani mtandao wangu ulikuwa unasumbua leo ndo mana nimekuwa nikikatikatika asante bestito jamani nimefurahi ila lleo sitakuwa na dinner party kwani mume wangu Mentor amekwenda kumpa pole Mtambuzi
Me ndio maana sitoagi hongera zangu sometimes because some people do not appreciate
 
Last edited by a moderator:
kwa jamani mume wangu kwanini unakuwa hivyo bestito wivu wa nini tena wakati mie niko hapa waambie leo hatutakuwa na dinner party kwani kwwewe umekwenda kwa Mtambuzi kumpa pole hivyo tutaafanya wakati mwingine siku ya tarehe 17 May ambayo ni kilele cha sherehe hivyo wewe usilete huzuni wakati leo ni siku yangu ya furaha
I hope ni chakula cha jikoni na si kile kingine maana nna wivu sana mimi...



Hahaha...usiponpeleka nakusemea kwa sosoliso kuwa siku hizi umepata m-South Africa!!! da ila dada we noma...ulivyom-hug:mmph:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…