Ungana nami kufurahia kutimiza miaka 2 ndani ya jf

Kumbe ndo maana...haalfu ndo tabia gani ya kutopokea simu wangu!??? nimekubip mno jana...:angry::redfaces::angry:

wewe ndo yatosha??bwana eeeeee nilikuwa namtumikia mume
ooo am sorry my dia simu nawekaga rum mie nipo mtaa wa 2 ila nlivyorudi nikakutwangia hukupokea teh teh hapa naona ulilipiza
 
yani wewe acha tu hata kama nitakufunda vipi utanielewa acha nikuzoee jinsi ulivyo na niendelee na maombi natumia ipo siku utatulia kwani siwezi kukuacha kamwe kwa zile raha unazonipa tunapokuwa faragha
Kumbe ndo maana...haalfu ndo tabia gani ya kutopokea simu wangu!??? nimekubip mno jana...:angry::redfaces::angry:
 
wewe ndo yatosha??bwana eeeeee nilikuwa namtumikia mume
ooo am sorry my dia simu nawekaga rum mie nipo mtaa wa 2 ila nlivyorudi nikakutwangia hukupokea teh teh hapa naona ulilipiza

hapana si kulipiza..nlikuwa na wifi yako.

Hongera ladyfurahia kwa kutimiza mika 2 hapa JF..

Magazeti yako mbona umeniachia? Halafu yananukia shemeji yako akadhani ndivyo sivyo!!!!:angry:
 
Hongera yako ladyfurahia kwa kutimiza miaka miwili hapa JF tena bila kulambishwa ban!

Itabidi nikutafute tufahamiane we jirani yangu. Nina nyumba ''kubwa'' huko kigamboni, mitaa ya tungi mwembeladu!
 
Last edited by a moderator:
haya tutaonana tu sijali bestito kwani hata Mentor atafurahi kupata mgeni wa kuja kututembelea kwetu asante
Hongera yako ladyfurahia kwa kutimiza miaka miwili hapa JF tena bila kulambishwa ban!

Itabidi nikutafute tufahamiane we jirani yangu. Nina nyumba ''kubwa'' huko kigamboni, mitaa ya tungi mwembeladu!
 
Last edited by a moderator:
Congra ladyfurahia kutimiza umri huo Jeiefu! Hata nami bado punje hivi nifike ulikofika.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…