Congra ladyfurahia kutimiza umri huo Jeiefu! Hata nami bado punje hivi nifike ulikofika.
hivi wewe ladyfurahia hutambui uwepo wangu @c6, au hujui km mimi ni mkongwe humu jukwaani. tangu mtotosix mpaka leo, hebu nitaje bana
mi mzuri?
samahani bestito kwani furaha ikizidi unasahau wale wakongwe samahani sana haya nawe nakutaja usiboreke bestito
mitaa gani tena kaka
Karibu sana Paloma
Halafu kijana mbona umepotea?Ntaku pm
Hongera sana dada yangu ladyfurahia
Nilikuwa mapumziko na wifi yako Chocs ndio maana nimechelewa kuja kukupa hongera.
Tunafurahi kuwa pamoja humu jukwaani na tumuombe Mungu aendelee kutuweka pamoja daima.
I real Appreciate you madame.
Ntaku pm
This calls for a meeting kati yangu na wewe TU!
ladyfurahia Siku nyingine ukienda kumfulia Mentor uniambie tutongozane kwakuwa na mimi huwa naenda huko kufuliwa!
congrat's ma lovly sisy!!