Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri.

Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi.

Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana wote wakiwa wanaoga huku wanakulana.

Sasa anashangaa mkewe ameenda kinyume na utaratibu tena amenyoa jamaa akiwa hayupo, amemhoji akajibiwa eti yalikua yanamuwasha sana na kuna kakipele kalimtokea juu ya k ndio akaamua anyoe.

Jamaa yangu hilo jibu halijamridhisha kabisa hivyo kaja kuomba ushauri kwangu.
Je tunamshaurije huyu jamaa yangu wakuu?
 
Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri.
Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi.
Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavuzi yote.jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana wote wakiwa wanaoga huku wanakulana.sasa anashangaa mkewe ameenda kinyume na utaratibu tena amenyoa jamaa akiwa hayupo,amemhoji akajibiwa eti yalikua yanamuwasha sana na kuna kakipele kalimtokea juu ya k ndio akaamua anyoe.jamaa yangu hilo jibu halijamridhisha kabisa hivyo kaja kuomba ushauri kwangu.

Pole sana mkuu japo umebunu mbunu ya kuja kwa kisingizio cha rafiki yako ila kifupi mkeo aliigawa mbususu kwa jamaa jingine likawa linajipigia tu kama vile limemuoa!
 
Hapo shida sio kunyoa bali shida ni wasiwasi wa mapenzi kwamba mkewe atakuwa amenyoa kwasababu alikutana na mwanaume kimapenzi

Sasa mwambie hivi kwakuwa hana uhakika na kipi ni kipi basi atulie tu,ila amwambie next time mkewe asirudie kitu kama hicho hata awashwe vipi

Hii maana yake nini? Kama mke kweli alikutana na mwanaume mpya basi akitaka kukutana naye tena atataka kunyoa,sasa akirudia hilo kosa hapo sasa ahukumu huenda kuna mambo mkewe anafanya
 
Huwa hawasikii aise
Atanyoa tu ten na tena
 
Ila jamaa yako ni mjinga Sana kwamba haoni aibu kukushirikisha kwenye masuala yake ya ndani kama hayo.
Angemalizana na mkewe tu

Hapo inaweza ikawa mtoa mada ndio mhusika mkuu🤣🤣
 
Back
Top Bottom