Pole kwa kugongewa mkuuKuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri.
Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi.
Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavuzi yote.jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana wote wakiwa wanaoga huku wanakulana.sasa anashangaa mkewe ameenda kinyume na utaratibu tena amenyoa jamaa akiwa hayupo,amemhoji akajibiwa eti yalikua yanamuwasha sana na kuna kakipele kalimtokea juu ya k ndio akaamua anyoe.jamaa yangu hilo jibu halijamridhisha kabisa hivyo kaja kuomba ushauri kwangu.
Je tunamshaurije huyu jamaa yangu wakuu?
Kwani kila mwanaume mpya hapendi kichaka?Hapo shida sio kunyoa bali shida ni wasiwasi wa mapenzi kwamba mkewe atakuwa amenyoa kwasababu alikutana na mwanaume kimapenzi
Sasa mwambie hivi kwakuwa hana uhakika na kipi ni kipi basi atulie tu,ila amwambie next time mkewe asirudie kitu kama hicho hata awashwe vipi
Hii maana yake nini? Kama mke kweli alikutana na mwanaume mpya basi akitaka kukutana naye tena atataka kunyoa,sasa akirudia hilo kosa hapo sasa ahukumu huenda kuna mambo mkewe anafanya
huyu jamaa ni yeye kabisa wala sio jamaa ake na inabidi akubali tu imeshatokea na kama kuchapiwa ameshachapiwa hakuna jinsiHuyo jamaa ni wewee.
😂😂😂😂😂😂