Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

Wewe na jamaa yako mkakaa kikao kujadili mazuvi ya shemeji yako? Ukashindwa kumshauri ukaamua ulete hapa ukusanye ushauri mkae tena kikao umkabidhi faili la ushauri toka JF.
Lakini mleta mada angeweka kapicha tuone kama kweli mkewe kanyoa na tuone alama ya kipele kilichomuwasha mkewe (Kama kipele kilikuwa nje au ni kipele cha ndani)
 
Piga chini, hana utii kwa Mume huyo Mwanamke ye afanya yake na alichepuka. Wanawake wapo wengi Sheikh, piga chini
 
Oh mmh! Mbona hili suala ni nyeti sana kati ya wanandoa ukiacha makubaliano yao kushirikisha 3rd part.
Kaa pembeni usishauri lolote, Mkuu. Ni hayo tuuu.
 
Ni jamaa yangu wa karibu sana
 
Pole sana mkuu japo umebunu mbunu ya kuja kwa kisingizio cha rafiki yako ila kifupi mkeo aliigawa mbususu kwa jamaa jingine likawa linajipigia tu kama vile limemuoa!
Nitamfikishia huu ujumbe mhusika kama ulivyo.
 
Sawa mkuu,nitamfikishia ujumbe kama ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…