Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

Mkuu nimescroll juu hadi chini nione picha ili nipate kushauri sijaona picha ya kei yenye kipara. No evidence no ushauri
 
Pole kwa kugongewa mkuu
 
Kwani kila mwanaume mpya hapendi kichaka?

Yawezekana hizo kanuni mke hajazipenda, ila huzifanya ili kumfurahisha jamaa.

Sasa mfurahishwa kasafiri, kwa nini chaka lisifyekwe na ataporudi akute linaota jipya ili alifyeke yeye kwa mikono yake na uduanzi wake?

Kwa penzi la kijingajinga namna hiyo, mke yatamshinda muda siyo mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…