"Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

"Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

Mi naamini kuolewa ni chaguo km mengine tu kuna ambae bila kuolewa hajisikii vizuri lakini wapo wanawake kipaumbele chao si kuolewa, kwenye mahitaji ya msingi hilo la kuolewa halimo
Ukiona mwanamke ambaye kipaumbele chake sio kuolewa basi jua kwa 100% anakosa sifa za kuwa mke wa mtu/reject. Kiashiria kikubwa cha mwanamke huyu ni kupigwa chini mara kwa mara na wanaume wa maana. Hadumu kwenye mahusiano na wanaume reasonable.
 
Kuolewa mnaikuza sana haina maajabu kihivyoo
 
Kuolewa mnaikuza sana haina maajabu kihivyoo

Kitu ukishakuwa nacho hakinaga maajabu.
NI Sawa na Watu weñye Pesa hujiona Kawaida Sana au weñye degree au maprofesa
Sasa wale wasiokuwa navyo Huwezi waambia hakuna maajabu Kwa kitu ambacho hawajawahi ku- Experience

NI sawa Mtu akuambie Ulaya Hakuna maajabu au kupanda Ndege Hakuna maajabu ilhali wewe hujawahi kwenda Ulaya Wala kupanda ndege
 
Kama ulivyosema wanaambianaga hivyo wakiwa katika hali ya kuchambana au kusutana kiufupi wakiwa kwwnye hali ya magomvi, ni ile ya akutukanae hakuchagulii tusi,

Kwa mujibu wa jamii zetu inaaminika kuolewa inaongeza heshima kwa mwanamke lakini kwa usawa tulionao ndoa haitoi uhakika wa kuishi kwa furaha wala kwenda mbinguni, kumdhihaki asie nayo ni kukosa kumakinika kwa muolewaji kwenye majukumu yake ya ndoa

Sio wanawake tu hata njemba zipo inazizomea pisi ambazo hazijaolewa sasa unajiuliza mtu km huyu anamtambia na kudhihaki mwanamke ni wivu au upunguani au nae ni mwanamke katika umbo la kiume
nini kifanyike
 
Lakini MTU anaweza kuikataa riziki Kutoka Kwa Mungu.
Yaani unapewa riziki yako lakini hauitaki Kwa sababu huridhiki nayo.
Vipi Hilo?
Anachokipanga Mungu,Binadamu hawezi kukizuwia,ukikataa jambo au ukiwa na maamuzi ya kulikataa jambo fulani,basi hiyo siyo riziki yako,ni sawa na ajali,hua haina kinga.
 
Kauli za wenye wivu tu isitoshe uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji, tatizo watu wamegeuza kuolewa km hitaji la msingi kumbe sio kweli,

Labda km huyo mwanamke alikuwa ananata na kudharau ndoa halafu aanze kuhangaikia kuolewa hapo sasa waja tutampa ya kumpa,, na vicheko tutacheka
Hiyo kauli huwa imekaa kimitego kumfanya mwanamke ajifikirie. Kwenye kuolewa wanaume wengi wanaturn from beautiful girls to smart girls. Wanawake wengi wenye sura nzuri na shape akili zao huwa zinawaza uzuri wao tu zaidi ya maisha.
 
Kitu ukishakuwa nacho hakinaga maajabu.
NI Sawa na Watu weñye Pesa hujiona Kawaida Sana au weñye degree au maprofesa
Sasa wale wasiokuwa navyo Huwezi waambia hakuna maajabu Kwa kitu ambacho hawajawahi ku- Experience

NI sawa Mtu akuambie Ulaya Hakuna maajabu au kupanda Ndege Hakuna maajabu ilhali wewe hujawahi kwenda Ulaya Wala kupanda ndege
Of course mi napenda kuolewa hata ikitokea huyu akazingua akatokea wa kubeba zigo hata sivungi naolewa tena na shela navaa, ila hainifanyi niwaone wasio olewa kuna kitu wanapungukiwa,
 
Kuolewa mnaikuza sana haina maajabu kihivyoo
Offcourse kuolewa hakujawahi kuwa na maajabu kwa mwanamke reject kwa kuwa yeye ni fungu la kukosa (haoleki) wakati wote. Kitu hakiwezi kuwa cha muhimu kama huna uwezo wa kukifikia/kukipata. Mfano Degree ya Chuo kikuu haiwezi kuonekana muhimu, ina maajabu kwa mwanafunzi aliyepata ZERO form 4.
 
Hiyo kauli huwa imekaa kimitego kumfanya mwanamke ajifikirie. Kwenye kuolewa wanaume wengi wanaturn from beautiful girls to smart girls. Wanawake wengi wenye sura nzuri na shape akili zao huwa zinawaza uzuri wao tu zaidi ya maisha.
Wengi ni kujifariji na wivu tu kwasababu ya sura za baba zao,
 
Sura ya baba lakini mwenzio kawekwa ndani huku sura nzuri na shape ukibaki kuwa mchepuko😂😂😂
Braza mi ni yule mwanamke naachika na kuolewa mwezi unaofuata kwa heshima zote, kipaumbele changu na yule haviwezi kuwa sawa mnalazimisha na kuikuza sana kuolewa kumbe ni suala la uchaguzi tu, tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata km hatukubaliani nayo
 
Rafiki yangu kweli unasambaza upendoo😂😂😂 ningekuwa karibu NAMI ningejaribu nitoboe angalao week. Vipi wote umewazalia?
 
Back
Top Bottom