Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Huyu jamaa naye mara nyingi huwa ni Mshereheshaji tu😏😏😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa naye mara nyingi huwa ni Mshereheshaji tu😏😏😏
Si unaona sasa 😂😂
Sijaelewa hapo nipo between those years😅😅😅Miaka 40 ni miaka 30 so upige hesabu vizuri mkuu .
Ukiona mwanamke ambaye kipaumbele chake sio kuolewa basi jua kwa 100% anakosa sifa za kuwa mke wa mtu/reject. Kiashiria kikubwa cha mwanamke huyu ni kupigwa chini mara kwa mara na wanaume wa maana. Hadumu kwenye mahusiano na wanaume reasonable.Mi naamini kuolewa ni chaguo km mengine tu kuna ambae bila kuolewa hajisikii vizuri lakini wapo wanawake kipaumbele chao si kuolewa, kwenye mahitaji ya msingi hilo la kuolewa halimo
Kuolewa mnaikuza sana haina maajabu kihivyooUkiona mwanamke ambaye kipaumbele chake sio kuolewa basi jua kwa 100% anakosa sifa za kuwa mke wa mtu/reject. Kiashiria kikubwa cha mwanamke huyu ni kupigwa chini mara kwa mara na wanaume wa maana. Hadumu kwenye mahusiano na wanaume reasonable.
Maisha ni kuinjoi aseee......akili mtatumia zako 😹😹Si unaona sasa 😂😂
Kuolewa mnaikuza sana haina maajabu kihivyoo
nini kifanyikeKama ulivyosema wanaambianaga hivyo wakiwa katika hali ya kuchambana au kusutana kiufupi wakiwa kwwnye hali ya magomvi, ni ile ya akutukanae hakuchagulii tusi,
Kwa mujibu wa jamii zetu inaaminika kuolewa inaongeza heshima kwa mwanamke lakini kwa usawa tulionao ndoa haitoi uhakika wa kuishi kwa furaha wala kwenda mbinguni, kumdhihaki asie nayo ni kukosa kumakinika kwa muolewaji kwenye majukumu yake ya ndoa
Sio wanawake tu hata njemba zipo inazizomea pisi ambazo hazijaolewa sasa unajiuliza mtu km huyu anamtambia na kudhihaki mwanamke ni wivu au upunguani au nae ni mwanamke katika umbo la kiume
Anachokipanga Mungu,Binadamu hawezi kukizuwia,ukikataa jambo au ukiwa na maamuzi ya kulikataa jambo fulani,basi hiyo siyo riziki yako,ni sawa na ajali,hua haina kinga.Lakini MTU anaweza kuikataa riziki Kutoka Kwa Mungu.
Yaani unapewa riziki yako lakini hauitaki Kwa sababu huridhiki nayo.
Vipi Hilo?
Hiyo kauli huwa imekaa kimitego kumfanya mwanamke ajifikirie. Kwenye kuolewa wanaume wengi wanaturn from beautiful girls to smart girls. Wanawake wengi wenye sura nzuri na shape akili zao huwa zinawaza uzuri wao tu zaidi ya maisha.Kauli za wenye wivu tu isitoshe uzuri wa mtu uko machoni pa mtazamaji, tatizo watu wamegeuza kuolewa km hitaji la msingi kumbe sio kweli,
Labda km huyo mwanamke alikuwa ananata na kudharau ndoa halafu aanze kuhangaikia kuolewa hapo sasa waja tutampa ya kumpa,, na vicheko tutacheka
Of course mi napenda kuolewa hata ikitokea huyu akazingua akatokea wa kubeba zigo hata sivungi naolewa tena na shela navaa, ila hainifanyi niwaone wasio olewa kuna kitu wanapungukiwa,Kitu ukishakuwa nacho hakinaga maajabu.
NI Sawa na Watu weñye Pesa hujiona Kawaida Sana au weñye degree au maprofesa
Sasa wale wasiokuwa navyo Huwezi waambia hakuna maajabu Kwa kitu ambacho hawajawahi ku- Experience
NI sawa Mtu akuambie Ulaya Hakuna maajabu au kupanda Ndege Hakuna maajabu ilhali wewe hujawahi kwenda Ulaya Wala kupanda ndege
Wote tuolewenini kifanyike
Offcourse kuolewa hakujawahi kuwa na maajabu kwa mwanamke reject kwa kuwa yeye ni fungu la kukosa (haoleki) wakati wote. Kitu hakiwezi kuwa cha muhimu kama huna uwezo wa kukifikia/kukipata. Mfano Degree ya Chuo kikuu haiwezi kuonekana muhimu, ina maajabu kwa mwanafunzi aliyepata ZERO form 4.Kuolewa mnaikuza sana haina maajabu kihivyoo
Wengi ni kujifariji na wivu tu kwasababu ya sura za baba zao,Hiyo kauli huwa imekaa kimitego kumfanya mwanamke ajifikirie. Kwenye kuolewa wanaume wengi wanaturn from beautiful girls to smart girls. Wanawake wengi wenye sura nzuri na shape akili zao huwa zinawaza uzuri wao tu zaidi ya maisha.
Uzi ufungweHalafu cha ajabu huwa naona wanawake wenye uzuri wa kawaida ndio wanaolewa zaidi.
Sura ya baba lakini mwenzio kawekwa ndani huku sura nzuri na shape ukibaki kuwa mchepuko😂😂😂Wengi ni kujifariji na wivu tu kwasababu ya sura za baba zao,
Mimi ni mweupe mrefu ila nina miaka 24 utanipokea ? Au ndo nisubiri utanipigiaNatafuta mchumba, awe mrefu mweupe.....
Braza mi ni yule mwanamke naachika na kuolewa mwezi unaofuata kwa heshima zote, kipaumbele changu na yule haviwezi kuwa sawa mnalazimisha na kuikuza sana kuolewa kumbe ni suala la uchaguzi tu, tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata km hatukubaliani nayoSura ya baba lakini mwenzio kawekwa ndani huku sura nzuri na shape ukibaki kuwa mchepuko😂😂😂
Rafiki yangu kweli unasambaza upendoo😂😂😂 ningekuwa karibu NAMI ningejaribu nitoboe angalao week. Vipi wote umewazalia?Braza mi ni yule mwanamke naachika na kuolewa mwezi unaofuata kwa heshima zote, kipaumbele changu na yule haviwezi kuwa sawa mnalazimisha na kuikuza sana kuolewa kumbe ni suala la uchaguzi tu, tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine hata km hatukubaliani nayo