Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,512
Hello dears

Poleni na majukumu.

Kuna mmama fulani alikuwa anafuatilia nyendo za mumewe (waliyezaa nae watoto kadhaa bila ndoa) basi akagundua mzazi mwenza anapewa kisamvu cha kopo na anakifurahia Sana.
Mmama amecharuka anawaza kudili na mwizi wake maana ameshamjua.

Swali kwako mwenye ndoa au mahusiano imara. Kama ni wewe umegundua mumeo anafanya mambo kama hayo utafanyaje? Utamsaidiaje aache? Au na wewe utampatia??
 
😂😂😂😂chochote unachotaka kufanya kwenye mahusiano fanya kwasababu umependa mwenyewe au unajifurahisha

usifanye kwa ajili ya mwanaume 😂hawa wenye miguu mitatu utafanya na bado atatumia ulichofanya kama sababu ya kukuacha
 
Back
Top Bottom