Optimists
JF-Expert Member
- Oct 17, 2021
- 467
- 1,358
Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi wazuri, kusema ukweli ufundi ndio unanipa hela kuliko kazi niliyoajiriwa nayo ya uwalimu.
Sometimes nawaza ningeanza mapema ningekuwa na hatua kubwa, una kipi cha kuwashauri vijana?
Sometimes nawaza ningeanza mapema ningekuwa na hatua kubwa, una kipi cha kuwashauri vijana?