Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

Akili Yako inatakiwa iñyumbulike kama maji uki yaweka kwenye kibuyu, mtungi , ndoo, kudumu yanafuata

Alafu engineer ambao hawawezi hata kufanya copy & paste innovation yoyote waziri MAJALIWA MAJALIWA ana waambia mrudi vetaaa, 😁

Pole sana Mimi na wewe tupo ligi tofauti jinsi navyo yaona haya maisha
engineer gani anasomea veta?
 
engineer gani anasomea veta?
UJIFUNZE kusoma kwa utuo.. line kwa line..

Hao engineer wasio weza hata kutengeneza Dynamo

Shubamiti

Mimi mzee alikua engineer tanesco kapokea vijana na ma degree mabomu... Mzee mpaka akawa ana shangaa Hawa vijana huko vyuo TZ walisomea na wanafunzwa nini

Acha kushupaza shingo.. elimu ipo kitaa achana na hayo makaratasii
 
Doctor mbona unahasira sana?
 
Akili Yako inatakiwa iñyumbulike kama maji uki yaweka kwenye kibuyu, mtungi , ndoo, kudumu yanafuata

Alafu engineer ambao hawawezi hata kufanya copy & paste innovation yoyote waziri MAJALIWA MAJALIWA ana waambia mrudi vetaaa, 😁

Pole sana Mimi na wewe tupo ligi tofauti jinsi navyo yaona haya maisha
Hakuna engineer hapo

Cc ram
 
Attachments

  • doctorr.jpg
    doctorr.jpg
    39.7 KB · Views: 13
Mada nzuri na bora kimaono kwa vijana na wazazi wenye vijana hitaji kimawazo ila wengi wanaojihita wasomi wamechangia kwa kupakana matope badala ya kutoa mawzo yao na fursa wanazozijua katika soko la ajira. Ni masikitiko makibwa kuwa na wasomi wasio na tija kimawazo, na wenye ubabaifu wa fikira na matajiri wa majivuno na majigambo.
 
Tukiachana na Madeal hivi serikali (Wizara) na TAMISEMI achana na Taasisi/Wakala/Mashirika kuna mtumishi anaemzidi Salary Dakitare anaenza kazi! Na kuna Mtumishi yoyote kimuundo ana Salary ya Masters!?
 
Kukalili ndio nini? Huyo rais wako analipwa pesa ngapi na amesoma nini? Kuuliza mpaka uniquote ndugu msomi?
Hawa Ndio Vilaza magufuli alikuwa akiwatumbua wanamuona mbaya. Sasa kama mtu kuandika hajui na bado anajitapa kuwa ni injinia. Sasa huko kazini sijui anainjinia nini.
 
Hawa Ndio Vilaza magufuli alikuwa akiwatumbua wanamuona mbaya. Sasa kama mtu kuandika hajui na bado anajitapa kuwa ni injinia. Sasa huko kazini sijui anainjinia nini.
Anasema analipwa mil 7+ huyu sina uhakika hata anajua anaongelea nini! Ukute yuko field tayari anajiaaminisha atalipwa hizi pesa, maana ana makelele mno😅
 
Kwa kutengeneza mfumo wowote unao solve Tatizo lolote kwenye Jamii
MAkampuni yetu hayajali ishu za data, akipata hata wa4 wanaojali anapga hela kwa kusuka mfumo na kuusimamia kwa mwezi hata 400k kwa kila mteja muda huo anapga hata boda mtaan na deal zake zinaenda.
 
Back
Top Bottom