Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
NB.elemi unaweza kuipata hata kama hujaingia darasani inalielewa hilo?
tena nyie wasomi uchwara ambao sio mainjinia nina vijana wangu wamejifunza elimu ya mtaani wamewaacha mbali sana kimaendeleo na nyanja zote kiujumla.
mumebaki na ujuaji usio na faida
Mtu mwenye elimu ni rahisi kujifunza mambo mengi kuliko maamuma.
Hao mafundi wako NIKISEMA nijifunze wanacho kifanya miezi sita ni mingi kua mkweli na usi underrate THE POWER OF EDUCATION.