Lakini hao walioko ofisini wana maisha mazuri kuliko mafundi wengi kwa ratio.Mkuu mimi binafsi naamini Kwenye maisha kila mtu ameumbwa na kitu anachoweza kufanya kwa ufanisi kuliko vitu vingine ambavyo ana uwezo wa kufanya hivyo ni bora akajikita kwenye kusomea kitu hicho kama anakitambua.
Kingine nilichojifunza kupitia mapito yangu ni kuwa fani yoyote inayokupa ujuzi wa moja kwa moja (uundaji wa bidhaa/huduma i.e ufundi mf. Veta ina msaada mkubwa kuliko fani za ofisini.
toka huko.hakuna mhandisi njaa namna hioAkae kwa kutulia ndugu msomi amekariri na maisha hayana formula.. watu wamesoma arts wanalipwa 3m-5m per month yeye amekariri uhandisi ndio maisha na kuna wenzie wanalipwa laki 7 kama walimu😁
kwamwezi nakula zaidi ya 7.5 milioniKauli yangu iko pale pale, sirudi nyuma hata 0.5 mm. Kama umeajiriwa, bora mwenye genge au mama ntilie na duka la mangi.
Ndio maana hata sijataka kuhangaika kukuuliza unalipwa mshahara shilingi ngapi.
7.5 milioniAcha usenge. Tutajuaje unalipwa milioni ngapi bila kutuambia
shida sijasomea vishazi huru na ngeliKukalili ndio nini? Huyo rais wako analipwa pesa ngapi na amesoma nini? Kuuliza mpaka uniquote ndugu msomi?
umesomea vita vya majimaji na wewe unajiita msomi?kauze genge huko ulienda shule kukua sio kupata elimuMbaya zaidi anadharau fani za wenzake, tena kwa lugha za kejeli.
Wapo kibao tu mjomba!toka huko.hakuna mhandisi njaa namna hio
Ila umesomea vishazi tegemezi😎shida sijasomea vishazi huru na ngeli
Nyooooko!😀7.5 milioni
Kweli kabisa mtu akimiliki hekari 10 akaweka miundombinu ya kisasa akalima mwaka mzima ameaga njaa huyo.Ningerudi chuo leo ningesomea Agripreneurship na Agricultural Mechanisation nichanganye biashara na kilimo pamoja na teknolojia za kisasa za uzalishaji. Hapo ndipo future ilipo...population ya dunia inakuwa ardhi inapungua na hao wote watakula tu watake wasitake
Sio njaa tu hata umaskini wa kipatoKweli kabisa mtu akimiliki hekari 10 akaweka miundombinu ya kisasa akalima mwaka mzima ameaga njaa huyo.
Naona siku izii NIMEKUA mvivu mvivu kuandika..msomi ni injinia wa majengo na barabara tu.nyie wengine mlienda chuo kupoteza muda tu na kuwatia hasara wazazi wenu😁😁😁
kijitu kimesoma hkl eti nacho kinajiita kisomi😁
Plumbing au Mechanical engineering upande wa WireKusoma nini
Ukiumwa usije hospital uwatafute hao mainjinia wakutibu 😂msomi ni injinia wa majengo na barabara tu.nyie wengine mlienda chuo kupoteza muda tu na kuwatia hasara wazazi wenu😁😁😁
kijitu kimesoma hkl eti nacho kinajiita kisomi😁
Ukishakuwa unafanya mechanisation huwazi madalali.Uandae na mbinu za kumkwepa dalali
Elimu ya Certificate Lengo lake ni kumuandaa assistant technicianMkuu mimi nimepita veta, tena baada ya kugraduate kutoka chuo kikuu. Mfumo wa masomo pale ni 50/50, nusu darasani, nusu workshop. Utaratibu huu unamjenga sana mwanafunzi japokuwa lugha inaleta sana mkanganyiko hivyo wengi wenye uwezo wa workshop walifeli masomo ya darasani. Ila ukilinganisha na chuo ambapo unasoma miaka isiyopungua mitatu halafu field ni wiki 6 tu uzoefu wa kupambana na uhalisia wa kazi unakuwa hafifu na madhaifu ndio yanaanzia hapo kwa elimu ya chuo inayoonekana kama ndiyo rasmi kuliko vyuo vingine kama vya ufundi.