Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kikubwa hatujakuomba na tunajilisha wenyewe😎hamvuki milioni 1 mnakula moja kushuka chini😁😁
Kikubwa hatujakuomba na tunajilisha wenyewe😎hamvuki milioni 1 mnakula moja kushuka chini😁😁
Hayo yako mi ninachojua mi msomi😎ulienda kukua chuo😁😁😁wewe sio msomi
Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi wazuri, kusema ukweli ufundi ndio unanipa hela kuliko kazi niliyoajiriwa nayo ya uwalimu.
Sometimes nawaza ningeanza mapema ningekuwa na hatua kubwa, una kipi cha kuwashauri vijana?
hata asiesoma vidudu anajilisha tena vizuri zaidi yakoKikubwa hatujakuomba na tunajilisha wenyewe😎
umesomea nini?ngoja nikuchalenj usomi wako sasaHayo yako mi ninachojua mi msomi😎
Hahahaa siwezi kubadili mawazo yako, deal with it!hata asiesoma vidudu anajilisha tena vizuri zaidi yako
Si umeshajua nilichosoma😁umesomea nini?ngoja nikuchalenj usomi wako sasa
usiwaze nimekuchalenj tuHahahaa siwezi kubadili mawazo yako, deal with it!
hkl ndio ila una taaluma gani?Si umeshajua nilichosoma😁
Challenge accepted!usiwaze nimekuchalenj tu
Gender issueshkl ndio ila una taaluma gani?
unahitaji kuwa naurafiki na mhandisi?Challenge accepted!
wazee jinsia na watoto😁😁😁😁😁😁Gender issues
Mhandisi mwenye mabango hivi😁unahitaji kuwa naurafiki na mhandisi?
Unaonaa??🫴🏾wazee jinsia na watoto😁😁😁😁😁😁
Kawaida tu usiogopeMhandisi mwenye mabango hivi😁
Narudia tena, kama wote tupo kwenye ajira, mangi ni mwamba. Haijalishi unalipwa shilingi ngapi.unajua nalipwa milioni ngapi?
unajua hata Rais ameajiriwa?Narudia tena, kama wote tupo kwenye ajira, mangi ni mwamba. Haijalishi unalipwa shilingi ngapi.
Nina marafiki zangu wahandisi wamestaarabika sana, wewe una shida gani? Unachamba kama chalamila😎Kawaida tu usiogope