Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kumbe naye ni mhandisi🤭unajua hata Rais ameajiriwa?
Kumbe naye ni mhandisi🤭unajua hata Rais ameajiriwa?
Unaonaa??🫴🏾
kisomo kimezidi.nyie ambao hamjasoma hamuwezi kuelewaNina marafiki zangu wahandisi wamestaarabika sana, wewe una shida gani? Unachamba kama chalamila😎
usikurupuke rafiki yangu.hii reply sio ya kwako.shida yakukalili hkl hii😁😁Kumbe naye ni mhandisi🤭
Tutajuaje unalipwa milioni ngapi bila kutuambiaunajua nalipwa milioni ngapi?
Basii sauwaah wa kusoma!kisomo kimezidi.nyie ambao hamjasoma hamuwezi kuelewa
Kauli yangu iko pale pale, sirudi nyuma hata 0.5 mm. Kama umeajiriwa, bora mwenye genge au mama ntilie na duka la mangi.unajua hata Rais ameajiriwa?
Kukalili ndio nini? Huyo rais wako analipwa pesa ngapi na amesoma nini? Kuuliza mpaka uniquote ndugu msomi?usikurupuke rafiki yangu.hii reply sio ya kwako.shida yakukalili hkl hii😁😁
Mkuu mimi binafsi naamini Kwenye maisha kila mtu ameumbwa na kitu anachoweza kufanya kwa ufanisi kuliko vitu vingine ambavyo ana uwezo wa kufanya hivyo ni bora akajikita kwenye kusomea kitu hicho kama anakitambua.Tatizo wanaenda kusoma fani zile zile zilizowakosesha ajira wengine. Ila maisha ni kubahatisha, inategemea unachakarika vipi.
Usikalili sawa?Kukalili ndio nini? Huyo rais wako analipwa pesa ngapi na amesoma nini? Kuuliza mpaka uniquote ndugu msomi?
Watu wanaweza kukubeza lakini VETA zinazalisha watu wenye ujuzi wa kufanya kazi, na hao ndio tunawahitaji zaidi kwenye jamii.Ningeenda VETA
Akae kwa kutulia ndugu msomi amekariri na maisha hayana formula.. watu wamesoma arts wanalipwa 3m-5m per month yeye amekariri uhandisi ndio maisha na kuna wenzie wanalipwa laki 7 kama walimu😁Usikalili sawa?
Na usimnukuu mhandisi...kama anataka wengine wasinukuu, aweke katazo au aandike kabisa members wanaotakiwa kuchangia na kunukuu post zake.
Akae kwa ktulia msomi amekariri na maisha hayana formula.. watu wamesoma arts wanalipwa 3m-5m per month yeye amekariri uhandisi ndio maisha na kuna wenzie wanalipwa laki 7 kama walimu😁
Wa kupuuza hajui jinsi mambo yanavyokwenda kwa ground, unaweza kuta unabishana na recent graduate😅Mbaya zaidi anadharau fani za wenzake, tena kwa lugha za kejeli.
Uko sahihi, fani inayokupa ujuzi ni rahisi kujiajiri, vinginevyo endelea kusoma fani za aeiou uendelee kuzunguka na bahasha au kungojea koneksheni.Mkuu mimi binafsi naamini Kwenye maisha kila mtu ameumbwa na kitu anachoweza kufanya kwa ufanisi kuliko vitu vingine ambavyo ana uwezo wa kufanya hivyo ni bora akajikita kwenye kusomea kitu hicho kama anakitambua.
Kingine nilichojifunza kupitia mapito yangu ni kuwa fani yoyote inayokupa ujuzi wa moja kwa moja (uundaji wa bidhaa/huduma i.e ufundi mf. Veta ina msaada mkubwa kuliko fani za ofisini.
Mkuu mimi nimepita veta, tena baada ya kugraduate kutoka chuo kikuu. Mfumo wa masomo pale ni 50/50, nusu darasani, nusu workshop. Utaratibu huu unamjenga sana mwanafunzi japokuwa lugha inaleta sana mkanganyiko hivyo wengi wenye uwezo wa workshop walifeli masomo ya darasani. Ila ukilinganisha na chuo ambapo unasoma miaka isiyopungua mitatu halafu field ni wiki 6 tu uzoefu wa kupambana na uhalisia wa kazi unakuwa hafifu na madhaifu ndio yanaanzia hapo kwa elimu ya chuo inayoonekana kama ndiyo rasmi kuliko vyuo vingine kama vya ufundi.Watu wanaweza kukubeza lakini VETA zinazalisha watu wenye ujuzi wa kufanya kazi, na hao ndio tunawahitaji zaidi kwenye jamii.
..wasisome udokita
Kwa Hakika, hatuna haja na Vyeti in real life, Tunataka watu wenye uwezo wa kufanya vitu vionekane sio nadharia.Watu wanaweza kukubeza lakini VETA zinazalisha watu wenye ujuzi wa kufanya kazi, na hao ndio tunawahitaji zaidi kwenye jamii.