Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

📌Hakikisha kuanzia sasa una mtu ambaye atakuwa MENTOR wako!!!

Homework;Nyie kizazi cha AI mnaraha sana.Haya ingia huko AI uanze kusaka maana ya MENTOR na njia za kumpata MENTOR

Sawa kiongozi.
Tatizo sipo kwenye mfumo wa kwenda chuo na sio kizazi cha AI.

Ila hua nasoma kitu nnachoona nnakihitaji kinisaidie au kupata maarifa ya eneo husika.

Nafurahia kujisomea mwenyewe na hii tabia nimekua nayo tokea sekondari. Naelewa sana nikisoma kitu au kujifunza mwenyewe kuliko darasani na mwalimu (hapa sio waalimu wote, baadhi wachache sana hua naenda nao sawa).

Utaratibu wa mentorship mzuri lakini hatu uzingatii na kuufuatilia sana kama wenzetu wa nchi zilizoendelea wanavyofanya.
 
Mimi kwa ninaokutana nao niseme tu bahati, mipango, connection inamatter.

Una rafiki yako kasoma law na choka mbaya ila unamuona Lisu, unamuona Katuga. Financially wako stable.

Mi nishakutana na watu wamesoma tu degree ya gender ila wanaenda Marekani na nchi za ulaya easily na wanapelekwa na hiyo degree.
 
Back
Top Bottom