New AI Course or Data science from UDOMLengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi wazuri, kusema ukweli ufundi ndio unanipa hela kuliko kazi niliyoajiriwa nayo ya uwalimu.
Sometimes nawaza ningeanza mapema ningekuwa na hatua kubwa, una kipi cha kuwashauri vijana?
Kwa kutengeneza mfumo wowote unao solve Tatizo lolote kwenye JamiiKwa jinsi gani data scientist anaweza kujiajiri endapo akikosa ajira kwenye mfumo rasmi?
WASISOME UDAKTARI
😂😂😂😂.wasisome udokita
Ulifanya uamuzi sahihi.Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi wazuri, kusema ukweli ufundi ndio unanipa hela kuliko kazi niliyoajiriwa nayo ya uwalimu.
Sometimes nawaza ningeanza mapema ningekuwa na hatua kubwa, una kipi cha kuwashauri vijana?
📌Hakikisha kuanzia sasa una mtu ambaye atakuwa MENTOR wako!!!Nasie ambao hatujafika chuo turudi Primary au tuendelee chuo tuseme tutasoma kitu gani?
Hawa ni walimu waliochangamka..wasisome udokita