Huenda ikawa hivyo mkuu, lakini code za vikao vyetu zimeainisha tusioe wanawake wanaotuzidi sekta nyeti; pesa, akili, na umri.Ndio, maana sitaki mwanangu ateseke kama mimi, na kwasababu sipendi unyonyaji na ukandamizaji ndio maana nataka aje kuwa na akili by nature. Za mama yake na zangu zikiungana zinaweza kumfanya afanye kazi kama yangu
Mwanamke hajui kutumia akili yake vizuri, Anaweza kuwa na akili lakini asijue kama ana akili nyingi kuliko weweHuenda ikawa hivyo mkuu, lakini code za vikao vyetu zimeainisha tusioe wanawake wanaotuzidi sekta nyeti; pesa, akili, na umri.
Kukuzidi wewe?Simpangii ila kikubwa awe na hela nyingi.
Kazi yoyote yenye kipato chini ya Dola 5000 Kwa mwezi sitaki aifanyeHeshima mbele wakuu.
Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji.
Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo.
Hata wezi nao pia watoto wanaiga wanakuwa wezi!
Uhalifu upi mkuu? Wa kutumia silaha au peni? Wale ccm wote ni wahalifu tu. Ilawanapita kwenye mazuria mekunduChochote tu kasoro uhalifu.
Noma sana Mkuu 😀Hatimaye Lucas Mwashambwa abubujikwa na machozi mpk macho kuvimba mithili ya mtu aliyeng'atwa na nyuki huku Tlaatlaah akiwa mlinzi huko ilazo kikaoni habari zote na ndege masijala secretarybird
Hahahaha 😂Noma sana Mkuu 😀
Nazingatia hilo mkuuKama bado jitahidi uoe manzi mwenye akili timamu ili mtoto atoke mwenye akili pia.
umewaza vema sana, tunakoelekea Serikal itakosa uwezo wa kuajiri kabisa, kama saizi tu ina uwezo wa kuajiri watu lak 6 na tupo milion 60 huko mbele itakuaje?Hiyo kazi nani atamuajiri?
Hahaha...H A P A N A
kazi zangu zina stress sanaDuh kwanini Sister Leejay, kama hutojali unaweza kutuambia sababu.