Boara iwe ivo iwapo alikukuta bikra.Hata mie sipendi ku share
Je jamaa akisema mke wa pili ni kwa ajili ya tgo je!Kwa mujibu wa dini yao nikwamba mke wa kwanza aridhie sasa amegoma jamaa.
Sasa huoni anaechepuka anakuwa na wanawake wengi zaidi ya huyu alieongeza? Halafu uwezekano wa mchepukaji kuleta maradhi ni mkubwa kuliko alieoKushare panauma. Bora mimi ni mkristo ndoa ni moja. Chepuka huko nje ila hauoi mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mafundisho ya dini hayapo hivo. Mwenye maamuzi ni mume tu na sio mke wa kwanza.Kwa mujibu wa dini yao nikwamba mke wa kwanza aridhie sasa amegoma jamaa.
Ku share dusheleleHata mie sipendi ku share
Kizuri kula na mwenzio wewe vipi alafu kitu yenyewe umepewa bure unakua na uchungu nayoHata mie sipendi ku share
Hata kuku hatosheki na jogoo moja. Ni basi tu kwa vile hatujui kwa kina wanayowaza wanawake na pia yanayofanyika sirini.Na huu ni mfumo ambao Mungu ameuweka kwa viumbe hai wengine, dume anamiliki zaidi ya jike moja ila jike anatosheka kwa dume mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Haihitajiki ridhaa ya mke,ila ni vizuri akafahamishwa.Hivi siyo kwamba lazima mke wa kwanza aridhie kwanza ndipo mme unaongeza mke wa pili? Na kama ndivyo iweje jamaa aongeze mke bila kupata ridhaa ya mke mkubwa?
kajana kekeda. hahahah[emoji23][emoji23]emrereha wavo hahaha!
hahahahahahaaha, kwani bikira ni deal. hahahahahhaBoara iwe ivo iwapo alikukuta bikra.
Yes, ndio, iyeeKu share dushelele
πππππππππππππKizuri kula na mwenzio wewe vipi alafu kitu yenyewe umepewa bure unakua na uchungu nayo
Kwa vyovyote vile ni wazi kwamba ukishakuwa mwanamke wa kiislam na ukawa hautaki mke mwenza unajitafutia bure presha na kuachika juu. Maana habari ya mwanaume wa kiislam kuoa wanawake hadi wanne inajulikana.Haihitajiki ridhaa ya mke,ila ni vizuri akafahamishwa.