Unique Sisters wako wapi siku hizi?

Mkuu acha basi! Mbona unataka tuishi kwa mawazo hapo kwa Kabula [emoji47]
Inamana siku hizi anakula mbaazi?!
 
Daah kweli sio poa hapa ndo napoogopa hata kama nilikuwa na mechi nikikumbuka hii kitu stimu zinakata😁😁
Siku kupima kumelaisishwa kama unataka kuchakata mbususu kavu kampime kwanza.Akikumbia mshukuru Mungu.Ukiambiwa Fresh chakata.
 
We mwamba tutakuwa tunajuana, hizo ndo area zangu sana tu
Mimi mtoto wa makumbusho karibu na makumbusho shule ya msingi usawa wa Bahari Motors ya mzee wa Sera ya ubwabwa uchaguzi mkuu uliopita😆 . Mwananyamala kwa Kopa, Victoria, Kijitonyama yoote ndo maeneo niliyokulia mkuu.
 
Members wawili wa Unique Sisters (mkubwa na mdogo kabisa) wanafanya kazi kwenye media kama ilivyo kwa kaka yao Ramadhani Tuwa, ila yule wa kati aliolewa na Mjapan na anaishi Japan, hii ni mojawapo ya sababu ya wao kuacha muziki, japo sababu nyingine kubwa inasemekana ni dhuluma iliyokuwepo wakati huo kwa media fulani ya wazee.wa fursa. Nimewahi kufanya kazi na mama yao Sango Kipozi na kaka zao wawili: Hussein na Ramadhani Tuwa...
 
Nadhani wapo nje ya inchi kama nakumbuka vizuri wameolewa na wachina na wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…