Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
[emoji16]Ina maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16]Ina maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Ilunga Khalifa aka CPwaaMwenzake Suma lee
Sister P maskani yake si m/nyamala kwa kopa. Nasikia analea siku hiziZuwena ni marehemu kama si 2009/10. Sister P Tom boy wangu ndio sijajua anafanya nini kwa sasa
Mkuu acha basi! Mbona unataka tuishi kwa mawazo hapo kwa Kabula [emoji47]John Mjema alipogundua anao akajiua kwa kujichoma kisu moyoni laiti angepata ushauri mzuri akatafuna njugu tungekuwa naye sasa hivi. Jini Kabula yule tall naye alitakaga kujiua ila kanselling ikamsaidia akaanza dozi sasa hivi huwezi kumtambua pisii kali ataondoka na wengi.
King Kong III
Enika Kaka yake HardmadHuyu Roy nadhani alikuwa ni kaka yake Enika.
Hahahahaaa..... Jamaa amekuwa kama ametoka usingizi vile.Ina maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Pale ndio kwao tangia hajaingia kwenye Sanaa ya mziki. Nilijua alihama kule coz nilizoea kumwona kila jioni nikienda mazoezini pale uwanja wa kopa makaburini.Sista P yupo Mwananyamala kwa kopa (ile kwa kopa nyuma ya kituo cha daladala Victoria)
#YNWA
We mwamba tutakuwa tunajuana, hizo ndo area zangu sana tuPale ndio kwao tangia hajaingia kwenye Sanaa ya mziki. Nilijua alihama kule coz nilizoea kumwona kila jioni nikienda mazoezini pale uwanja wa kopa makaburini.
Walishirikiana na Mac D na sio Mez B, waliimba pamoja wimbo wa baishoo na nakupenda pia.
Enika Kaka yake Hardmad
Siku kupima kumelaisishwa kama unataka kuchakata mbususu kavu kampime kwanza.Akikumbia mshukuru Mungu.Ukiambiwa Fresh chakata.Daah kweli sio poa hapa ndo napoogopa hata kama nilikuwa na mechi nikikumbuka hii kitu stimu zinakata😁😁
Huyu Joan Kataraiya siku hizi ndo DED??Ni yee.pamoja na Nataka kwenda nayeye,bby tukablaizee.Nimekubali kwamba wewe ni kifaa.Akiwa n mtoto Joan Kataraiya.
Na bushoke je? Mana kabula katoka na mr nice pia katoka na bushokekwa jini Kabula Mr nice atakuwa amepona kweli?
Joan Kataraiya, huyo bint aliwahi kuwa jirani yangu BK miaka hiyo, pia alikuwa na dada yake na yeye alikuwa balaa.Ni yee.pamoja na Nataka kwenda nayeye,bby tukablaizee.Nimekubali kwamba wewe ni kifaa.Akiwa n mtoto Joan Kataraiya.
Mimi mtoto wa makumbusho karibu na makumbusho shule ya msingi usawa wa Bahari Motors ya mzee wa Sera ya ubwabwa uchaguzi mkuu uliopita😆 . Mwananyamala kwa Kopa, Victoria, Kijitonyama yoote ndo maeneo niliyokulia mkuu.We mwamba tutakuwa tunajuana, hizo ndo area zangu sana tu
Members wawili wa Unique Sisters (mkubwa na mdogo kabisa) wanafanya kazi kwenye media kama ilivyo kwa kaka yao Ramadhani Tuwa, ila yule wa kati aliolewa na Mjapan na anaishi Japan, hii ni mojawapo ya sababu ya wao kuacha muziki, japo sababu nyingine kubwa inasemekana ni dhuluma iliyokuwepo wakati huo kwa media fulani ya wazee.wa fursa. Nimewahi kufanya kazi na mama yao Sango Kipozi na kaka zao wawili: Hussein na Ramadhani Tuwa...Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?
Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan.
Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku hizi na anafanya nini?
Huyu ndo jesca wa jsisterJsisters watatu wameolewa wanaishi marekani. Kabaki mdg wao tu Jesca
Tena kama jela alifungwa miàka 13 maana amekufa mda sanaaIna maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app