Unique Sisters wako wapi siku hizi?

Unique Sisters wako wapi siku hizi?

Walishindwa kutumia dawa au vipi..
Nasikia banza stone pia..Bila kusahau akina Lilian internet..
Itakuwa panic tu. Jini Kabula alikuwa hoi stress alichanfaikiwa akawa analia tu. Ilifikia wakati akataka kujiua. Lakini washauri wakamuwahi. Wakampiga kanselling ya nguvu na kumpa mfano wasanii na watu maarufu ambao wanaishi nao na wako fresh tu. Sasa hivi ni pisii kali balaa.
 
Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?

Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan.

Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku hizi na anafanya nini?
Moses "Mez B" Bushagama ni R.I.P kitambo Mdau. Yeye na Ngwair (R.I.P) hawajapishana sana Ndugu Mdau.

Hao Unique Dadaz mmoja nilimsikia akitangaza Redioni, hao wengine ni wazi wanafanya kazi tofauti nje ya muziki.
 
Wale masista du kina Beyonce wa Dar es Salaam enzi hizo, tulikuwa tunapanda nao daladala tu hakuna noma wala nini. Ingekuwa sasa hivi Bongo Fleva inalipa wangekuwa wanatembea ndani ya kiyoyozi.
 
Back
Top Bottom