Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
- Thread starter
- #21
Langa piaaliondoka na pneumonia ( ngoma )
huo huo uliondoka na Roy wa G2, amina chifupa na mudi mpakanjia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Langa piaaliondoka na pneumonia ( ngoma )
huo huo uliondoka na Roy wa G2, amina chifupa na mudi mpakanjia
Walishindwa kutumia dawa au vipi..Langa pia
Itakuwa panic tu. Jini Kabula alikuwa hoi stress alichanfaikiwa akawa analia tu. Ilifikia wakati akataka kujiua. Lakini washauri wakamuwahi. Wakampiga kanselling ya nguvu na kumpa mfano wasanii na watu maarufu ambao wanaishi nao na wako fresh tu. Sasa hivi ni pisii kali balaa.Walishindwa kutumia dawa au vipi..
Nasikia banza stone pia..Bila kusahau akina Lilian internet..
Moses "Mez B" Bushagama ni R.I.P kitambo Mdau. Yeye na Ngwair (R.I.P) hawajapishana sana Ndugu Mdau.Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?
Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka, walishaishi Japan.
Kuna huyu jamaa mabangi walimshirikisha kwenye ngoma yao flani Mez B naye yuko wapi siku hizi na anafanya nini?
Chifupa Polonium _210 bila shaka.aliondoka na pneumonia ( ngoma )
huo huo uliondoka na Roy wa G2, amina chifupa na mudi mpakanjia
Mr. Nice naye kakomaa na dozi mda mrefu.Chifupa Polonium _210 bila shaka.
Huo ugonjwa ndo ugonjwa gani pneumonia halafu umeweka ngoma kwenye mabano unamaanisha ukimwi au ngoma gani..?aliondoka na pneumonia ( ngoma )
huo huo uliondoka na Roy wa G2, amina chifupa na mudi mpakanjia
"...au ndo unatoka jela...."Ina maana hujui kama Mez B ni marehemu, au ndo unatoka jela.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
We toka hapa Mez B hana miaka 3 ametutoka.Kitambo mno aisee,saratani ya ini,nilishtuka Sana nilipoambiwa huo ugonjwa kwamba yanki Kama Mimi anaweza ondoka kwa saratani,nadhani ilikua around 2010
Mez B alikufa kama miaka minne hivi iliyopita.Zuwena ni marehemu kama si 2009/10. Sister P Tom boy wangu ndo sijajua anafanya nini kwa sasa
Ni yee.pamoja na Nataka kwenda nayeye,bby tukablaizee.Nimekubali kwamba wewe ni kifaa.Akiwa n mtoto Joan Kataraiya.Si ndio aliimba kikuu cha mama Roda kimenilia mpunga wanguu mamaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Udongo umekula kipaji tayariNi yee.pamoja na Nataka kwenda nayee,bby tukablaizee.Nimekubali kwamba wewe ni kifaa.Akiwa n mtoto Joan Kataraiya.
Kitambo.Udongo umekula kipaji tayari
Godziller naye alishasepaKitambo.
Huchanganyi na ilunga kapungu!?..mez b kafa kitamboMez B alikufa kama miaka minne hivi iliyopita.
Mez b kafariki 2015, miaka 8 iliyopitaMez B alikufa kama miaka minne hivi iliyopita.
Yeah, dawa ya viboro dinda hiyo.unamaanisha ukimwi au ngoma gani..?
Basi na uhakika sina ngoma na hamna haja ya kupima kwasababu pneumonia inanishigaka kila mara.yeah, dawa ya viboro dinda hiyo
pneumonia, ni moja ya OIs, ukiwa na ngoma, inakuondoa fasta wala hairembi