Kumbuka kila mtu ana changamoto zake, Humu ndani tunapeana elimu na ushauri.UKiona mtu hata kuchaji tu simu akili inamsumbua kuhusu umeme kuisha, we jua tu hapo unafuu hakuna. Anatakiwa akaze saaaaana. Sasa ataweza nyoosha nguo kweli??
Unit 1 ni shilingi mia tatu60x 300= 18000. Inatosha hiyo
Mia tatu ya kuchajia simUnit 1 ni shilingi mia tatu
Hilo ndio lengo la uzi, sio kwamba mtu hana hela bali umeme unaisha haraka anatafuta kisingizio kwamba simu zinachajiwa sana badala ya kutafuta source inayomaliza sana umeme kama pasi, Baadhi ya TV, Fridge etc.UKiona mtu hata kuchaji tu simu akili inamsumbua kuhusu umeme kuisha, we jua tu hapo unafuu hakuna. Anatakiwa akaze saaaaana. Sasa ataweza nyoosha nguo kweli??
Je kipi bora kutumia jiko la umeme au gesi ,mm nipo kijijin Tsh 500 unapata unit 4kWh (kilowatt-hour), Wh (watt-hours), mAh (milliampere-hour), V (Volts)
Unit 1 ya shilingi mia tatu ni sawa na 1000 Wh ( 1 kWh)
Tuchukue mfano wa simu ya smartphone yenye betri kubwa ya 4,000 mAh
Simu nyingi huwa ni 3.7V
Formula ya kubadilisha mAh kuwa Wh:
(Mah * V)
1,000
(4,000 * 3.7) = 14.8 Wh
1,000
Umeme unaoingia unaweza kuwa na ufanisi wa asilimia 90%, ambapo asilimia 10% ya umeme hupotea kupitia waya, chaja, joto, na kadhalika.
14.8 Wh = 16.44 Wh
0.9
Kupata idadi ya kuchaji simu, Unit 1 ambayo ni 1000 Wh utagawanya na Wh za betri ya simu
1000Wh = 60.8
16.44 Wh
= Simu inajazwa mara 60 kwa unit moja
Niliwahi kusikia ukizidisha unit 70 kwa mwezi wanakurudisha system ya kawaida.Je kipi bora kutumia jiko la umeme au gesi ,mm nipo kijijin Tsh 500 unapata unit 4