Hapana,Kuna mfumo mzuri ninaupendekeza kwa ajili ya maslahi ya watu wetu .Tunahitaj mfumo utakaotengeneza vijana wenye uwezo wa uongozi na maadili,watu walio na uchungu na taifa , wenye mawazo ya KUJENGA TAIFA.kwa hiyo suala ni kuimarisha mifumo itayowajibisha viongozi kwa kuipa katiba nguvu itakayowabana viongozi.Sawa, Waafrika wataungana ila baadhi wataingia kwenye uongozi kwa njia ya rushwa. Nakumbuka msemo wa professor Lumumba wa Kenya, "in Africa we elect fools to the office ".
Afrika ni bara kubwa mno kuwa taifa moja!
Hilo haliwezekani na kamwe halitokuja kuwe
Nchi mpya kabisa barani Afrika ni Sudan ya Kusini!Ni mawazo yako,Magufuri alikuwa akiwaambia watanzania "tunaweza".hiyo ni sifa ya kiongozi,na mm ninakuambia "tunaweza".ninaona kitu ambacho wewe hukioni,ninafikiria kitu wew usichofikiria.HAKUNA MAISHA KWA WAAFRIKA KATIKA HALI HII,tutaibiwa kwa kigezo Cha uwekazaji wa kidini,tutaingiliwa kwenye mambo yetu na kuwekewa vikwazo ,tukibaki katika hali hii.njia ya kujikwamwua ni kutengeneza dola moja lenye nguvu nalo ni umoja wa nchi za Afrika Chini ya Rais mmoja.
Ndugu amani ya AFRIKA itapatikana tukiwa wamoja,tukiwa na jeshi moja.Nchi mpya kabisa barani Afrika ni Sudan ya Kusini!
Ina miaka 13 au 14.
Sasa wanachinjana wenyewe kwa wenyewe.
Walilia kwa muda mrefu sana kujitenga na Sudan. Wakapewa walichokitaka.
Kinachoendelea sasa hivi vita vya wenyewe kwa wenyewe kwenye Sudan zote mbili.
Afrika ni kubwa mno kuungana na kuwa taifa moja.
Hilo kamwe halitawesekana na kutakuwa na vita visivyoisha.
Ni wapi hapa duniani ambako bara zima liliungana na kuwa nchi moja?
Unajua ukubwa wa nchi ya urusi?.waliwezaje kuwa wamoja wakati wa Ussr.kabla ya magharibi kuwa zingua.Afrika ni bara kubwa mno kuwa taifa moja!
Hilo haliwezekani na kamwe halitokuja kuwezekana.
Urusi huwezi kuilinganisha na bara zima la Afrika.Unajua ukubwa wa nchi ya urusi?.waliwezaje kuwa wamoja wakati wa Ussr.kabla ya magharibi kuwa zingua.
Inawezekana kama Hitler alivo taka kutawala eneo kubwa la ulimwengu alikosea padogo kuingia USSR.
Na ndoto zake zkagongwa na kitu kizito kwa msovieti(mrusi)
Hoja ni ku unite africa kuwa nchi moja kwamba nijambo linalowezekana.kama kutakuwa na viongoz mara.mfano marekani ni muunganiko wa nchi 50.tanzania nimuunganiko wa nchi 2.wakati wa tawala ya ukoloni wajerumani waliweza kutawala uganda,kenya,tanganyika,Rwanda na Burundi kama koloni moja.ila waliweka misingi yakuto kutuluhusu kuungana kama vile kutumia lugha moja na kujenga utaifa.ona bokinafaso baada ya muungano wa afrika maghalibi kuwatenga nchi zilizo pindua utawala dhalimu wameunda jumuhia yao ya sahel.wanaweza kusema tuwe taifa moja na ikawa.Urusi huwezi kuilinganisha na bara zima la Afrika.
Linganisha machungwa kwa machungwa.
Linganisha bara kwa bara.
Urusi ni nchi iliyo kwenye mabara mawili: Ulaya na Asia.
Linganisha Asia na Afrika. Linganisha Ulaya na Afrika. Linganisha Marekani ya Kaskazini na Afrika.
Kulinganisha nchi iliyomo kwenye bara fulani na bara zima la Afrika, si sahihi.
Au wewe unadhani Afrika ni nchi?
Africa’s total land area is 11.7 million square miles.
Russia’s total land area is 6.6 million square miles.
Linganisha nchi kwa nchi na bara kwa bara.
Again, Unalinganisha nchi na bara.Hoja ni ku unite africa kuwa nchi moja kwamba nijambo linalowezekana.kama kutakuwa na viongoz mara.mfano marekani ni muunganiko wa nchi 50.tanzania nimuunganiko wa nchi 2.wakati wa tawala ya ukoloni wajerumani waliweza kutawala uganda,kenya,tanganyika,Rwanda na Burundi kama koloni moja.ila waliweka misingi yakuto kutuluhusu kuungana kama vile kutumia lugha moja na kujenga utaifa.ona bokinafaso baada ya muungano wa afrika maghalibi kuwatenga nchi zilizo pindua utawala dhalimu wameunda jumuhia yao ya sahel.wanaweza kusema tuwe taifa moja na ikawa.
Kuhusu kulinganisha na urusi hoja nikwamba kabla ya soviet kuvunjika ukraine ilikuwa taifa la soviet pamoja na nchi nyinginezo.
🤣🤣Utaelewa tu.
Iko hivi kama bara la America kaskazin inako patikana U.S.A muunganiko wa nchi ya marekani.ingekuwa kuna kipande kingine cha aridhi kimebaki wange unganisha kuwa nchi moja pia.tazama jografia ya U.S.A utajua west na east. Ni bahari.north kuna nchi ya canada 🇨🇦 ,ndio maana Trump alisema anampango wa kuongeza nchi ya canada kama jimbo Lake la 51.na akavuka maji kuitaka Greenland kinguvu hata kuinunua yupo tayari.pia anampango wa kuvamia Mexico kijeshi.tambua wakifanikiwa wanazidi kutanua ukubwa wa eneo.
Marekani wana military base nyingi ulimwenguni je unajua malengo ya hizo military base siku zijazo(kunakichwa).
Karibu tena
Na U.S.A nimuunganiko wa nchi 50. 😁 je una jua jimbo la alaska halija ungana na aridhi ya U.S.A lakini lina kamilisha nchi ya U.S.A. AKILI MTUAANGU.Afrika ni bara lenye nchi 54.