United States of Africa - ndoto itakayotimia

United States of Africa - ndoto itakayotimia

Narudia tena, Marekani siyo bara. Hivyo huwezi kuilinganisha Marekani, ambayo ni nchi moja katika bara la Marekani ya kaskazini na bara zima la Afrika
Kabla ya utaifa kulikuwa hakuna nchi ya marekani labda hapa unachanganywa.nikama tanzania haikuwepo ila baada ya muungano nio ikatokea.sitachoka kukuelimisha bila ada(joke don't panic 😁)
 
Kabla ya utaifa kulikuwa hakuna nchi ya marekani labda hapa unachanganywa.nikama tanzania haikuwepo ila baada ya muungano nio ikatokea.sitachoka kukuelimisha bila ada(joke don't panic 😁)
Duniani kuna mabara mangapi?
 
Bara la Afrika halijaungana.
Kwanini halijaungana kijana?ukisetiwa na media za wazungu utaona kuna ugumu wa muungano.jibu ni hatuja ungana kwasababu wweupe hawataki tuungane jiulize afrika ikiungana itakuwa na nguvu kiasi gani ulimwenguni.je unalijua vuguvugu la pan africa
 
Afrika haiwezi kuungana.

Hizo ni ndoto tu.
 
Afrika haiwezi kuungana.

Hizo ni ndoto tu.
Hata wazungu walijua wa afrika hawata pata mamlaka ya utawala ,vivyo hivyo japani ilijua wataitawala china milele kilicho took tokea china imekuwa na nguvu kuliko japani,kwanini wachina walijenga utaifa nakuwa na eneo kubwa + idadi.usione trump anataka kunyakua aridhi za nchi nyingine anajua nini maana ya nguvu ya utawala.unafikilia wazungu walipo ingia marekani walijua hawatakomboka.mawazo finyu hutoka katika bongo lala.
Kwani afrika ikiungana wewe uta athirikanini malengo huanza kwenye fikira na kunena kunena ni power isiyoonekana yenye kujenga uhalisia.
 
Mimi sijazuia Afrika kuungana.

Natoa tu tathmini yangu kulingana na uhalisia na si njozi za mchana.

Maneno mengi ya nini……unganeni basi tuone.

Kinachowashinda kuungana ni nini?
 
Afrika haiwezi kuungana.

Hizo ni ndoto tu.
Tunajumuhia za kikanda barani africa.SADCECOWAS,SAHEL,EAC na zingine.chini ya AU. Sasa hizi jumuhia za kikanda zikijadili mfumo wa utawala na kuleta utaifa nani atapinga kama sio wewe na mabeberu.EAC ilianza na nchi 3 saizi unajua ziko ngapi na kwanini nchi zingine zina omba kujiunga na hizi jumuhia za kikanda.safari ni hatua.kuna ndugu zetu walikuwa chini ya tawala ya mzungu leo wewe umekuta jitiada walizo fanya uko na baadhi ya uhuru.unajiua kanuni ya mwana pan africa au nakuchanganyq
 
Mimi wala sipingi Afrika kuungana.

Ninachojua tu ni kwamba hilo jambo haliwezekani kwa sababu zilizo dhahiri kabisa.
 
Unajua ukubwa wa nchi ya urusi?.waliwezaje kuwa wamoja wakati wa Ussr.kabla ya magharibi kuwa zingua.

Inawezekana kama Hitler alivo taka kutawala eneo kubwa la ulimwengu alikosea padogo kuingia USSR.
Na ndoto zake zkagongwa na kitu kizito kwa msovieti(mrusi)
Huyu ni miongoni mwa waafrika waliojiwekea hawawezi maisha ydo yote
 
Ni
Urusi huwezi kuilinganisha na bara zima la Afrika.

Linganisha machungwa kwa machungwa.

Linganisha bara kwa bara.

Urusi ni nchi iliyo kwenye mabara mawili: Ulaya na Asia.

Linganisha Asia na Afrika. Linganisha Ulaya na Afrika. Linganisha Marekani ya Kaskazini na Afrika.

Kulinganisha nchi iliyomo kwenye bara fulani na bara zima la Afrika, si sahihi.

Au wewe unadhani Afrika ni nchi?

Africa’s total land area is 11.7 million square miles.

Russia’s total land area is 6.6 million square miles.

Linganisha nchi kwa nchi na bara kwa bara.
Ni nani aliyekufundisha ama kukuletea concept ya "Bara"?
 
Afrika ilikuwa moja,ni Berlin Conference ilituweka kwenye hii mipaka ya kubuni,kwa hiyo wazungu wamekuwa kama baba zetu kwa kutukatia vipande kama baba amkatiavyo mwanae eneo kwa ajili ya urithi.
🤣🤣

Uko mgumu sana kuelewa!

Afrika ni bara lenye nchi 54.

Marekani si bara. Ni nchi. Ni nchi iliyopo kwenye bara la Marekani ya kaskazini.

Ukitaka kulinganisha, linganisha bara kwa bara na nchi kwa nchi.

Linganisha bara la Marekani ya kaskazini na bara la Africa.

Hakuna hapa duniani ambako bara zima liliungana na kuunda nchi moja.

Bara la Asia halijaungana.

Bara la Ulaya halijaungana.

Bara la Marekani ya Kusini halijaungana.

Bara la Marekani ya kaskazini halijaungana.

Bara la Afrika halijaungana.

Kuna sababu kwa nini mabara yote hayo hayajaungana kuunda nchi moja.

Narudia tena, Marekani siyo bara. Hivyo huwezi kuilinganisha Marekani, ambayo ni nchi moja katika bara la Marekani ya kaskazini na bara zima la Afrika.
A
 
Back
Top Bottom