ibrahim Traore
Senior Member
- Aug 11, 2024
- 157
- 228
Kabla ya utaifa kulikuwa hakuna nchi ya marekani labda hapa unachanganywa.nikama tanzania haikuwepo ila baada ya muungano nio ikatokea.sitachoka kukuelimisha bila ada(joke don't panic 😁)Narudia tena, Marekani siyo bara. Hivyo huwezi kuilinganisha Marekani, ambayo ni nchi moja katika bara la Marekani ya kaskazini na bara zima la Afrika
USA ipo bara gani?Na U.S.A nimuunganiko wa nchi 50. 😁 je una jua jimbo la alaska halija ungana na aridhi ya U.S.A lakini lina kamilisha nchi ya U.S.A. AKILI MTUAANGU.
Duniani kuna mabara mangapi?Kabla ya utaifa kulikuwa hakuna nchi ya marekani labda hapa unachanganywa.nikama tanzania haikuwepo ila baada ya muungano nio ikatokea.sitachoka kukuelimisha bila ada(joke don't panic 😁)
Kwanini halijaungana kijana?ukisetiwa na media za wazungu utaona kuna ugumu wa muungano.jibu ni hatuja ungana kwasababu wweupe hawataki tuungane jiulize afrika ikiungana itakuwa na nguvu kiasi gani ulimwenguni.je unalijua vuguvugu la pan africaBara la Afrika halijaungana.
Bara ni nini tuanzie hapo.Duniani kuna mabara mangapi?
Afrika kusini inapatikana wapi.?USA ipo bara gani?
Afrika haiwezi kuungana.Kwanini halijaungana kijana?ukisetiwa na media za wazungu utaona kuna ugumu wa muungano.jibu ni hatuja ungana kwasababu wweupe hawataki tuungane jiulize afrika ikiungana itakuwa na nguvu kiasi gani ulimwenguni.je unalijua vuguvugu la pan africa
Bara la Afrika.Afrika kusini inapatikana wapi.?
Hilo ni swali au kauli?Bara ni nini tuanzie hapo.
Hata wazungu walijua wa afrika hawata pata mamlaka ya utawala ,vivyo hivyo japani ilijua wataitawala china milele kilicho took tokea china imekuwa na nguvu kuliko japani,kwanini wachina walijenga utaifa nakuwa na eneo kubwa + idadi.usione trump anataka kunyakua aridhi za nchi nyingine anajua nini maana ya nguvu ya utawala.unafikilia wazungu walipo ingia marekani walijua hawatakomboka.mawazo finyu hutoka katika bongo lala.Afrika haiwezi kuungana.
Hizo ni ndoto tu.
America ya kaskazinBara la Afrika.
Marekani ipo bara gani?
Ni swali naomba jibu.Hilo ni swali au kauli?
Mimi sijazuia Afrika kuungana.Hata wazungu walijua wa afrika hawata pata mamlaka ya utawala ,vivyo hivyo japani ilijua wataitawala china milele kilicho took tokea china imekuwa na nguvu kuliko japani,kwanini wachina walijenga utaifa nakuwa na eneo kubwa + idadi.usione trump anataka kunyakua aridhi za nchi nyingine anajua nini maana ya nguvu ya utawala.unafikilia wazungu walipo ingia marekani walijua hawatakomboka.mawazo finyu hutoka katika bongo lala.
Kwani afrika ikiungana wewe uta athirikanini malengo huanza kwenye fikira na kunena kunena ni power isiyoonekana yenye kujenga uhalisia.
Swali huwa lina alama ya kuuliza. Hukuiweka.Ni swali naomba jibu.
Sasa utalinganishaje nchi moja iliyopo bara la Marekani ya kaskazini na bara zima la Afrika lenye nchi 54?America ya kaskazin
Tunajumuhia za kikanda barani africa.SADCECOWAS,SAHEL,EAC na zingine.chini ya AU. Sasa hizi jumuhia za kikanda zikijadili mfumo wa utawala na kuleta utaifa nani atapinga kama sio wewe na mabeberu.EAC ilianza na nchi 3 saizi unajua ziko ngapi na kwanini nchi zingine zina omba kujiunga na hizi jumuhia za kikanda.safari ni hatua.kuna ndugu zetu walikuwa chini ya tawala ya mzungu leo wewe umekuta jitiada walizo fanya uko na baadhi ya uhuru.unajiua kanuni ya mwana pan africa au nakuchanganyqAfrika haiwezi kuungana.
Hizo ni ndoto tu.
Mimi wala sipingi Afrika kuungana.Tunajumuhia za kikanda barani africa.SADCECOWAS,SAHEL,EAC na zingine.chini ya AU. Sasa hizi jumuhia za kikanda zikijadili mfumo wa utawala na kuleta utaifa nani atapinga kama sio wewe na mabeberu.EAC ilianza na nchi 3 saizi unajua ziko ngapi na kwanini nchi zingine zina omba kujiunga na hizi jumuhia za kikanda.safari ni hatua.kuna ndugu zetu walikuwa chini ya tawala ya mzungu leo wewe umekuta jitiada walizo fanya uko na baadhi ya uhuru.unajiua kanuni ya mwana pan africa au nakuchanganyq
Huyu ni miongoni mwa waafrika waliojiwekea hawawezi maisha ydo yoteUnajua ukubwa wa nchi ya urusi?.waliwezaje kuwa wamoja wakati wa Ussr.kabla ya magharibi kuwa zingua.
Inawezekana kama Hitler alivo taka kutawala eneo kubwa la ulimwengu alikosea padogo kuingia USSR.
Na ndoto zake zkagongwa na kitu kizito kwa msovieti(mrusi)
Ni nani aliyekufundisha ama kukuletea concept ya "Bara"?Urusi huwezi kuilinganisha na bara zima la Afrika.
Linganisha machungwa kwa machungwa.
Linganisha bara kwa bara.
Urusi ni nchi iliyo kwenye mabara mawili: Ulaya na Asia.
Linganisha Asia na Afrika. Linganisha Ulaya na Afrika. Linganisha Marekani ya Kaskazini na Afrika.
Kulinganisha nchi iliyomo kwenye bara fulani na bara zima la Afrika, si sahihi.
Au wewe unadhani Afrika ni nchi?
Africa’s total land area is 11.7 million square miles.
Russia’s total land area is 6.6 million square miles.
Linganisha nchi kwa nchi na bara kwa bara.
A🤣🤣
Uko mgumu sana kuelewa!
Afrika ni bara lenye nchi 54.
Marekani si bara. Ni nchi. Ni nchi iliyopo kwenye bara la Marekani ya kaskazini.
Ukitaka kulinganisha, linganisha bara kwa bara na nchi kwa nchi.
Linganisha bara la Marekani ya kaskazini na bara la Africa.
Hakuna hapa duniani ambako bara zima liliungana na kuunda nchi moja.
Bara la Asia halijaungana.
Bara la Ulaya halijaungana.
Bara la Marekani ya Kusini halijaungana.
Bara la Marekani ya kaskazini halijaungana.
Bara la Afrika halijaungana.
Kuna sababu kwa nini mabara yote hayo hayajaungana kuunda nchi moja.
Narudia tena, Marekani siyo bara. Hivyo huwezi kuilinganisha Marekani, ambayo ni nchi moja katika bara la Marekani ya kaskazini na bara zima la Afrika.