Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Subiri baada ya miezi 5Gaza sio bustani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri baada ya miezi 5Gaza sio bustani
Sswa ila Gaza sio bustani kwamba utakwenda kupata upepoSubiri baada ya miezi 5
Kumfuta Israel haiwezekaniSidhani kama kuna two state solution maana hamas na Iran wana lengo moja ya kuwafuta Israeli hapo Middle East. Na muisraeli hatakubali
Hii pia ni possibility nyengine mkuu, Qatar walipotengwa na waarabu wengine wamekua pro Iran sana, na Hamas kuna ushahidi mwingi wapo na Iran na Viongozi wengi wa Hamas wapo Qatar, ni Faida ya Iran Sunni na West wakipigana.Ila hamas hawataki two state solution. Lengo lao ni kufuta dola ya Israeli.
Nadhani lengo ni kurefusha vita ili kuamsha hasira za waarabu/waislam ili waingie kwa pamoja kuichangia Israeli.
Kumbuka Israeli imezungukwa na maadui kila sehemu na wote wanamsubiri kwa hamu
sasa akili ya uvumbuzi inatokana na dini au akili?Waislamu Kote Duniani hawana Akili. Ndio maana vumbuzi nyingi.. ni za wakristu.
Mkuu imenibidi ni 🤣🤣🤣 tu, kwa namna ulivyoonesha huruma kwa wachokoziSasa mtu akimbaka mkeo basi na ww ukaenda kulipa kwa kubaka familia yake nzima, utakuwa na utofauti gani na huyo mbakaji?
Sasa kama Israel kama anauwa raia kama hamas hiyo mantiki ya kuwaita Hamas magaidi inatoka wapi,basi tukubaliane kuwa hamas na Israel wote ni magaidi kwa sababu wanafanya mambo yanayo fanana.
Amin aliivamia kagera akauwa watu kibao lakini jeshi la Tz halikuenda Uganda na kuanza kuuwa raia hovyo hovyo na makusudi bali tuli pambana na Amin na jeshi lake mpaka tukashinda.
Angalau una Hoja mkuu, though Dini especially Christianity imeplay role kubwa katika sayansi na Teknolojia.. refer to most scientists!sasa akili ya uvumbuzi inatokana na dini au akili?
Kwahiyo wakiristo wa kiafrika na kiarabu nao vipi mbona wamezidiwa na Mapagani wa kizungu na Mabaniani na wachina ambao hata zao si za kikiristo wala kiislamu?
Walichokozwa na Hamas hawajachokozwa na wanawake na watoto hivyo wadili na Hamas kama hawawezi basi wasitishe vita.Mkuu imenibidi ni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tu, kwa namna ulivyoonesha huruma kwa wachokozi
Ebu tutajie orodha ya hao wanasayansi wa kikirsito ,hatutaki utuletee majina ya kizungu na kuwaita wakristo bali tunatakiwa utuwekee ushahidi wa kuwaonesha kuwa wao walikuwa wakristo.Angalau una Hoja mkuu, though Dini especially Christianity imeplay role kubwa katika sayansi na Teknolojia.. refer to most scientists!
Sana, mafanikio ni makubwa kuliko maelezo.Hamas has nothing to lose, so far washafanikiwa kwa zaidi ya Asilimia 100.
1. Isaac NewtonEbu tutajie orodha ya hao wanasayansi wa kikirsito ,hatutaki utuletee majina ya kizungu na kuwaita wakristo bali tunatakiwa utuwekee ushahidi wa kuwaonesha kuwa wao walikuwa wakristo.
Jifunze kuhusu elimu mkuu,uone Kama haijatokea mashariki ya kati,mpaka crusade ya kwanza inafanyika, crusaders wengi walikua hawajui kusoma Wala kuandika, chemistry ni Al kemy (mwarabu),algebra ni mwarabu,ave Cena,Ismail Azar (father of robotics) nkAngalau una Hoja mkuu, though Dini especially Christianity imeplay role kubwa katika sayansi na Teknolojia.. refer to most scientists!
Umesoma coment yangu vizuri ukaielewa?1. Isaac Newton
2. Galileo Galilei
3. Karl Friendrich Gaus
4. St. Thomas Aquinas.
Na wengine wengi
5. Albert Einstein1. Isaac Newton
2. Galileo Galilei
3. Karl Friendrich Gaus
4. St. Thomas Aquinas.
Na wengine wengi
Ndio lengo la Iran na vikundi vyake Hamas na hezbollahKumfuta Israel haiwezekani