Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

Ila hamas hawataki two state solution. Lengo lao ni kufuta dola ya Israeli.
Nadhani lengo ni kurefusha vita ili kuamsha hasira za waarabu/waislam ili waingie kwa pamoja kuichangia Israeli.
Kumbuka Israeli imezungukwa na maadui kila sehemu na wote wanamsubiri kwa hamu
Hii pia ni possibility nyengine mkuu, Qatar walipotengwa na waarabu wengine wamekua pro Iran sana, na Hamas kuna ushahidi mwingi wapo na Iran na Viongozi wengi wa Hamas wapo Qatar, ni Faida ya Iran Sunni na West wakipigana.
 
Waislamu Kote Duniani hawana Akili. Ndio maana vumbuzi nyingi.. ni za wakristu.
sasa akili ya uvumbuzi inatokana na dini au akili?
Kwahiyo wakiristo wa kiafrika na kiarabu nao vipi mbona wamezidiwa na Mapagani wa kizungu na Mabaniani na wachina ambao hata zao si za kikiristo wala kiislamu?
 
Sasa mtu akimbaka mkeo basi na ww ukaenda kulipa kwa kubaka familia yake nzima, utakuwa na utofauti gani na huyo mbakaji?

Sasa kama Israel kama anauwa raia kama hamas hiyo mantiki ya kuwaita Hamas magaidi inatoka wapi,basi tukubaliane kuwa hamas na Israel wote ni magaidi kwa sababu wanafanya mambo yanayo fanana.

Amin aliivamia kagera akauwa watu kibao lakini jeshi la Tz halikuenda Uganda na kuanza kuuwa raia hovyo hovyo na makusudi bali tuli pambana na Amin na jeshi lake mpaka tukashinda.
Mkuu imenibidi ni 🤣🤣🤣 tu, kwa namna ulivyoonesha huruma kwa wachokozi
 
sasa akili ya uvumbuzi inatokana na dini au akili?
Kwahiyo wakiristo wa kiafrika na kiarabu nao vipi mbona wamezidiwa na Mapagani wa kizungu na Mabaniani na wachina ambao hata zao si za kikiristo wala kiislamu?
Angalau una Hoja mkuu, though Dini especially Christianity imeplay role kubwa katika sayansi na Teknolojia.. refer to most scientists!
 
Mkuu imenibidi ni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tu, kwa namna ulivyoonesha huruma kwa wachokozi
Walichokozwa na Hamas hawajachokozwa na wanawake na watoto hivyo wadili na Hamas kama hawawezi basi wasitishe vita.
 
Angalau una Hoja mkuu, though Dini especially Christianity imeplay role kubwa katika sayansi na Teknolojia.. refer to most scientists!
Ebu tutajie orodha ya hao wanasayansi wa kikirsito ,hatutaki utuletee majina ya kizungu na kuwaita wakristo bali tunatakiwa utuwekee ushahidi wa kuwaonesha kuwa wao walikuwa wakristo.
 
Ila Israel na Marekani wanavuliwa nguo huko Ukraine na Gaza. Tuliaminishwa mambo mengi sana kuwahusu hawa jamaa.

Ergodan anasema Israel ikiingia vitani bila msaada haiwezi kumaliza siku kumi. Na mimi naami kabisa, Israil haina uwezo wa kupambana na iran na Turkey.

Acha wavuliwe nguo.
 
Hamas has nothing to lose, so far washafanikiwa kwa zaidi ya Asilimia 100.
Sana, mafanikio ni makubwa kuliko maelezo.

Dunia nzima nzima ililisahau suala la palestina, leo wiki.ya tatu mfululizo dunia nzima inaongelea Palestina.

Mpaka wagagagigikokowa JF leo ni wataalam wa Palestina na Israel.
 
Ebu tutajie orodha ya hao wanasayansi wa kikirsito ,hatutaki utuletee majina ya kizungu na kuwaita wakristo bali tunatakiwa utuwekee ushahidi wa kuwaonesha kuwa wao walikuwa wakristo.
1. Isaac Newton
2. Galileo Galilei
3. Karl Friendrich Gaus
4. St. Thomas Aquinas.

Na wengine wengi
 
Angalau una Hoja mkuu, though Dini especially Christianity imeplay role kubwa katika sayansi na Teknolojia.. refer to most scientists!
Jifunze kuhusu elimu mkuu,uone Kama haijatokea mashariki ya kati,mpaka crusade ya kwanza inafanyika, crusaders wengi walikua hawajui kusoma Wala kuandika, chemistry ni Al kemy (mwarabu),algebra ni mwarabu,ave Cena,Ismail Azar (father of robotics) nk
 
Ukipitia hizi comment ndio utaelewa Africa na hasa Tanzania bado Tuna safari ndefu. Mwenyezi Mungu awasaidie huko mashariki ya kati vita visiendelee.
 
1. Isaac Newton
2. Galileo Galilei
3. Karl Friendrich Gaus
4. St. Thomas Aquinas.

Na wengine wengi
Umesoma coment yangu vizuri ukaielewa?

Nime kuambia usiniletee majina ya kizungu na kuwa bambika ukrisito, bali uniletee ushahidi unai waonesha kuwa walikuwa wakristo.
 
[emoji1320][emoji1320][emoji1320][emoji1320]
Screenshot_20231103-013950.jpg
 
Back
Top Bottom