Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Sawa
 
Kweli kabisa wapo composed mnoo.
 
Mi Liver ila natamani ManCity nae awe wa pili
Inakera sana kila siku mshindi yuleyule

Waache wabebe tu, wanastahili...

Ukiacha Arsenal hakuna timu imesumbua kichwa cha City msimu huu wa ligi...
 
Anajizima data tu... Arsenal hana mechi kwenye mashindano mengine hivyo ataweza kufocus zaidi kwenye Ligi. Man City hawezi kumfunga Arsenal mechi 2..... Yaani timu yake imepasuliwa halafu anaamini wengine hawatapasuka vibaya.
City hii hii ambayo imekunda mechi 20 mfululizo au kuna nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…