Unpopular Opinion: Arsenal hatoshinda taji lolote msimu huu

Nipeni maua yangu
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
 
Mau yako tukuletee wapi
 
Sasa nadhan umeeleweka
Arsenane last 3 games kachuku 3points. Jamaa washakata pumzi
 
Baada ya kutolewa kwenye FA Cup, Carabao, nimekaa nikawaza nikaona ni kombe gani Arsenal anaweza kutwaa nimeshindwa kuona.

Arsenal kabaki kwenye michuano ya Europa League na EPL.

Europa hawezi kutoboa akijitahidi sana robo fainali.

EPL ndio kabisa hawezi kutwaa akijitahidi sana nafasi ya pili. Arsenal anaongoza ligi lakini bado hajacheza mechi mbili dhidi ya Man City. Bado ana mechi na Chelsea, Liverpool, West Ham na Brighton naamini huko kote atadondosha alama.

Hivyo nahitimisha kuwa Arsenal hatoshinda kombe lolote na atakuwa hana tofauti na timu kama Leeds United au Aston Villa.
Tukupe maua yako
 
Kwa hiyo wakati Arsenal anadondosha alama kwenye hizo mechi 6 huyo Man city atakuwa anashinda mechi zote? Hatadondosha alama?

Na BTW hizo timu zote ulizotaja hakuna yenye uwezo wa kumfunga Arsenal. Tuna ushahidi wa walichofanywa round ya kwanza.

Na kama ungefanya tathmini kwa kutulia utaelewa kuwa kwa kutolewa kwenye hayo mashindano mengine ni fursa zaidi kwa Arsenal kuweka nguvu kubwa kwenye ligi wakati wengine wakiwa na mzigo wa mechi nyingi.
Kweli mashabiki wa Arsenal viazi mbatata. Ona huyu.
 
Back
Top Bottom