Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Umetisha sana kaka mkubwa, uncle wangu mmoja walimuua hapo Tanzania mwaka 2021 na hao hao panya road anawatetea huyo mtoa mada.. nasisitiza wauliweeeee
 
Wazazi na walezi wanawajua watoto wao wezi wote huko mitaani lakini wananshindwa kuwakemea na hata kwenda POLISI kutoa taarifa badala yake watoto wao hao wanauza na kujeruhi binadamu wenzetu. Ninachojua tabia ya wizi mtu anarithi kutoka kwa wazazi ndyo maana wazazi wenye watoto wezi huwa hawawezi kuathibiti ili wasiendelee na vitendo hivyo. Ukikuta mtoto mwizi basi tambua Baba au mama ni wezi au katika ukoo wao kuna wezi. Mwizi haibuki tu ghafla kwenye ukoo, huwa kuna chanzo. Pili kuna makundi watu hujikuta wanafundishwa wizi kwasababu ya tamaa ya kumiliki vitu vya thaman wakati hawana uwezo. Kwasababu wao wanaua basi nao wauawe.
 
Raisi wetu mpendwa Samia aingilie kati kuzuia huu unyama.

Haya Maturubali hapa TMK sio ya kawaida.

Au hii ni ile sera ya "shoot first ask questions later?"

Vijana wanaangamia Mayo! 😥
 
Usiombe ukutane na hawa panya Road,hutakuja kuandika,ulivyoandika.Hawana huruma kabisa,kukupiga panga,kisu,bisibisi,hawaoni tabu.Utatamani ardhi,ifunguke,uingie.
 
Hawa hawajakutana na panya Road,mtu asiombe,hawana huruma kabisa,kukupiga panga kwao sio tabu,wala hawana huruma.
 
Cha muhimu vijana ni kuepuka makundi
Kukaa makundi ni uhalifu? Unajua maisha ya uswazi? Hujui kukutana ni sehemu moja muhimu sana ya maisha ya ujana duniani kote? Tatizo lipo kwenye utawala ulioshindwa kila kitu unabaki kutumia mbinu za zima moto na matamko kuongoza. Si juzi juzi raia walikuwa wanahimizwa raia kuzaa kwa wingi? Walidhani wanaozaliwa wataishije?
 
Upuuzi wangu ndio pona yako na Ndugu zako, who said tuwaache?? Mbona unajitoa akili dogo?? Au unapenda ligi??
 

Jirani habari! Kumbe na wewe ulisikia zile risasi...
 
Usiombe ukutane na hawa panya Road,hutakuja kuandika,ulivyoandika.Hawana huruma kabisa,kukupiga panga,kisu,bisibisi,hawaoni tabu.Utatamani ardhi,ifunguke,uingie.
Kwani kuna mtu amesema panya road ni wazuri? Panya road ni hatari sana lakini haiwezekani polisi ifanye mauaji ya kadamnasi kwa kisingizio cha kupambana na panya road. Historia inaonyesha watakaouawa wengi siyo wezi.
 
Wewe ni mjinga flani, sidhani kama unahitaji kujibiwa na Mimi
 
HunA akili
 
Jinga kabisa wewe zaa Kwa wingi bila Kuwapa malezi wanao tuje kuwapiga kiberiti mtaani !

Nyie dawa yenu ni risasi, Polisi kama mnasoma humu tendeni haki. Mkikamata panya road ueni tumewachoka hata kama na Mimi ni panya road niuweni.

Ifike muda Lazima tutumie elimination method kupunguza hawa panya road.

Kama kuna sheria , mahakama na magereza Ila Panya road wanazidi kutesa kinachofuatia ni kuwapunguza Kwa njia ya Shaba.

Kama unajijua Una ndugu panya road au na wewe ni panya road jiandae kununua sanda usisumbue watu kukununulia sanda wakati tozo zinatubana.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kuzaa kwa wingi ni watawala wako walisema siyo mimi. Ujinga wangu umetoka wapi kusema watawala wanashauri raia wazae kwa wingi? Najua mtu mwenye akili kama zako ni shida kuona tatizo la kushabikia polisi kuua bila kufuata sheria. Unhakika gani kila anayeuawa ni panya road? Hizi ndioz naita akili za ndezi.
 

Mkuu let me get this straight from you, kwa hio kwa maono yako, adhabu ya kuvuta Bangi iwe shoot on site?
Hivi unajua polisi hana mamlaka ya kuhukumu?
 
Mtoa Mada yuko sahihi tangu lini form four Zero akafanya Kazi kwa ufasaha Zaidi ya Kukulupuka
Naomba Serikali ijaribu kuwa makini kuuwa innocent people haifai , wanaovuta bangi wengi ndo wameuliwa wakati sio wezi Wala vibaka.
Kupata division 4 hakumaanishi mtu hana akili, wote waliofanya mambo makubwa hawana degree. Mtaani kwako una watu kibao hawana degree na wanainjoy life. Panya road hawana haki ya kuishi kama ambavyo wenyewe wemekatili haki za wengine. Nakuungana na mkuu wa mkoa kama una ndugu yako anazurura ovyo mitaani huko usiku, mchana yuko vijiwe vya wavuta bangi, usipomwuona siku mbili tembelea mortuary
 
Ukiambiwa zaa na weww unazaa kama panya taahira wewe.

Zaa hovyo ushindwe kulea mtoto awe panya road uone Kama hatauawa.






Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…