Yan kiufupi anamaanisha si jukumu la polisi kuyoa adhabu, ni jukumu la mahakama, sheria ndo inataka hivyo, kwenye sheria huwa wanasema ni vyema kuwaachia huru watu mia waliokuwa na makosa kuliko kumuadhibu mtu asiye na hatia, yani polisi wanapoamua kuchukua kundi la watu pasipo kufanyika uchunguzi ni dhahiri kabisa kunawatu wasio na hatia wataonewa, istoshe kama mtu amekamatwa anavuta bangi apelekwe maakamani na kuhukumiwa kwa kosa la kuvuta bangi na si polisi kujichukulia amri ya kuwaadhibu kwa kuwaua kitu ambacho si jukumu la polisi.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app