Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Sheria za nchi zinasemaje mtu akikutwa anavuta bangi? Auwawe?



Sawa
wanakulipa tsh ngap ? kutetea uhalif , je wanauliwa mida gan , mazingira gan ? vyote hujui umechukua kasentens kamoja ili upotoshe uma , hlf ndo nyiny mnasema aman ya dunia inachafuliwa na mabeberu kumbe nyiny mnawalea wahalifu
 
Niliandika juzi nikajibiwa kashfa, hata wale waliouwawa wakasema ni Panya road hawakua panyaroad
Hawa wwnaounga mkono kuuliwa Watanzania wenzao ipo siku nao watauliwa kwa sababu nyingine.
Yawezekana watakuwa wanadai haki au maslahi yao polisi watapita nao
 
Hawa wwnaounga mkono kuuliwa Watanzania wenzao ipo siku nao watauliwa kwa sababu nyingine.
Yawezekana watakuwa wanadai haki au maslahi yao polisi watapita nao
Nilijibiwa kashfa mnooooo kwamba ninatetea wahuni ila najua Tanza-nia Polisi ndio wahuni zaidi
 
dah ukute upo kigoma upo hapa kupotosha watu , mm npo field naona najua , wanaouliwa asilimia kubwa ni wahusika au watu wa krb wa wahusika
Sawa kabisa ila siku Moja Polisi watatuua Tena na watatumia Sababu hizo
 
Hata mi kuna demu wangu anakaa buza aisee kanipnaga uko sa hv hakufai hata kwenda kumtembelea naona jau naskia wametangaziwa kma una ndugu yko hujamuona sku 3 na zaidi uende polisi au mochwari temek hosptaL au muhimbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Pole sana, bt kuua so Suluhu, JAMII na Serikali ,wazazi tukae kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa changamoto hizi.
Ufumbuzi wa kudumu ni kupiga risasi tu wote wenye tabia za ujambazi, uwezi kuumiza na kuua watu then usubirie huruma, halali yako ni shaba ya kichwa tu!!

Ukitaka usalama kaa nyumbani kwa wazazi jifunze kufanya kazi za halali!!
 
Mie. Nilihumia sana kale kadada ka kawe kalikouliwa yaaani dah katoto kazuri mithili ya kangekuwapo hapa kitandani nikikala nyapu , mara ghafla just 22 yrs kameuliwa kisa dah ,....... Hao wote uweni tuuu tena huweni aseeeeeeeee. Yaaaani type za panya road uweni tuuuu wala hakuna shida
 
Mie. Nilihumia sana kale kadada ka kawe kalikouliwa yaaani dah katoto kazuri mithili ya kangekuwapo hapa kitandani nikikala nyapu , mara ghafla just 22 yrs kameuliwa kisa dah ,....... Hao wote uweni tuuu tena huweni aseeeeeeeee. Yaaaani type za panya road uweni tuuuu wala hakuna shida
Uaaaaa piga bullet
 
Sawa kabisa ila siku Moja Polisi watatuua Tena na watatumia Sababu hizo
sio kizembe hivo , mm nlikuwa maeneo husika nmekutana nao mara5 ila hawajawai hata nikunja , ww unaleta siasa na visasi kweny inshu za usalama , Libyia iliharibiwa na walibyia wenye upeo mfupi km wako , huko chamaz waliitwa kikao cha usalama na waliambiwa kila kitu juu ya hali ya usalama kwasasa na utaratibu wa kuimarisha usalama maeneo husika , usiku saa 7 mtu unakuwa unaenda wap wkt unajuwa kuna panya roada maeneo husika , unasimamishwa hlf hutak unakimbia au unaanza warushia mawe polisi , ss huyu mtu wa hv ndo unamtetea , kwa akil zako kuwa polisi km walitaka kumuua mtu wangeshindwa mpk wasubir skendo ya panyaroad , je mtu ambae ni panyaroad hana sifa zinazomuonesha kuwa ni panya road , demokrasia ulikuwa mtego wa kumpa uhuru mjinga kukwamisha mipango Iliyo juu ya akilI zao wajinga
 
Mie. Nilihumia sana kale kadada ka kawe kalikouliwa yaaani dah katoto kazuri mithili ya kangekuwapo hapa kitandani nikikala nyapu , mara ghafla just 22 yrs kameuliwa kisa dah ,....... Hao wote uweni tuuu tena huweni aseeeeeeeee. Yaaaani type za panya road uweni tuuuu wala hakuna shida
hahahaaaa mzee umeimis nyapu ?
 
kwan nan hajui , jifunz kuuliza , huko chamaz tumekuwa tunasikia risas kila mara watoto wanawatunishia polis , polis wakifanya km unavyotaka wanakufa wao , saa 7 usk hata km ni kuvuta bangi ni uongo
Dah
 
This is known as " desperate measure in desperate times" mtoa mada unaweza kuwa upo sahihi lakini naomba nikwambie kwa Capital letters kabisa kwamba "NENDA UKANYE" acha polisi wafanye kazi yao. Nyie ndo mnaolea huu upumbavu mitaani kwenu huko.. siku wakimbaka binti yako najua utakuja kulaumu polisi na kutoa mapovu nyuma ya keyboard as usual, Fungus!
 
Mnaotetea huu uhuni wa polisi subirini siku yakiwakuta mtatia akili, polisi wa bongo hawana tofauti na panya road, lile jeshi linatakiwa kufumuliwa lote maana bado linaendeshwa kwa sheria za kikoloni kuwalinda watawala na sio usalama wa raia, ndio maana wezi wakubwa wa kura ni jeshi la polisi
 
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.

Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela afungwe kama itamwacha huru aachwe.

Sasa polisi wanafika mitaani na kukusanya vijana wasio na kazi, na wanavuta bangi kisha kuwaua kinyama. Misiba ni mingi mitaani, inatia huruma. Hili jambo ni kinyume na haki za binadamu.

Kijana anashikwa ndani ya masaa 12 anakuwa ameshakatishwa uhai. Upelelezi wa kutosha umefanyika? Hili zoezi nina hakika limepoteza vijana wasio na hatia. Hebu wapelekeni mahakamani mkawaue baada ya mahakama kuwatia hatiani.

Rais Samia utakuwa na mwisho mbaya. Police wamegeuza Kitonga Dar kuwa machinjio ya binadamu. Hata familia zenu zina vijana wa hovyo, wangekuwa wanaishi uswahilini tungewaita panya road. Serikali (mzazi na mlezi mkuu) inakwepa jukumu lake la kuwalea watoto wake na badala yake inwaua.

NB: Mimi si mhalifu, ni raia safi kabisa, sijapoteza ndugu yangu kwa hii operation na wala sina ndugu mhalifu, ila nimeumia tu na haya yanayotokea. Misiba ni mingi, huzuni na vilio. Huku viunga vya Kitonga ambako wamekugeuza machinjio ndiko ninakoishi. Jana nilienda uswahilini Tandika na Buza ni huzuni.
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom