Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

Sheria gani imemkataza kijana asijumuike na wenzake.

Siyo kila kijiwecha vijana ni wahalifu.

Kuna vita isiyoisha baina ya vijana na grown up fools.

Vijana wanahitaji maongozi na fursa. Endeleeni kukwapua mali za umma na kusababisha dropouts wanaogeuka wahalifu baada ya kupoteza matumaini.

Kuna siku yaja vijana wataturudi sisi tunaojifanya hatukuwahi kuwa vijana kabla
Kabisa mkuu hili suala la ukosefu WA ajira na umasikini uliokithiri pia ni contributing factor angalia nchi zilizokabiliwa na magenge ya wahalifu Kule America ya kusini NK utakuta hizo communities ziko plagued na extreme poverty + unemployment sasa option inayobaki ni watu kuwa manunda na kusurvive kibabe Kwa uhalifu
 
Democracy is too fucking slow!! PT do the needful
 
mpumbav huyo , vijana wengi wanauliwa ni wale wanaokaidi kusimama wanapoamriwa kusimama , mm nmekutana na polisi sio chini ya mara 5 mida ya saa 5 usk kwa wiki hiz mbili , ila sijawai pigwa wala kusumbuliwa , wanaouliwa wengi ni vibaka na panyaroad ambao tyr wanajijua ni wakosaji
Na hii pia ni mistake nyingine Kwa nini wawaue wakati polisi wamepewa mafunzo na technics ya kukamata wahalifu ?
Kwani hao watu walikuwa armed na silaha ? Hata kama walikimbia si Bora wawashoot miguu ? ,Kwani Hamna namna ya kuwakamata hao perceived criminals bila kuwaua ?
 
Wewe huna info za kutosha juu ya hii operation ndio maana umeandika hivi.
Kiongozi tuwekee hapa hizo info tupate kufahamu inawezekana kukawa kuna jambo kubwa nyuma ya hawa panyaroad au hii operation
 
utakuwa ni mharifu ww sio bure , watu wanateseka kisa hao panyaroad ww unawatetea wanaowatunza hao panyaroad , ungekuwa krb ningekutoa shing , nmepitia mikasa ya hao panya road ni mashetani
Bila Shaka walikupa bapa za panga za kutosha mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maana nasikia vitoto vinabonda hivyo ni laana ,usiombe kukutana navyo
 
Kwanini uvae kama panya road katika kipindi hiki.

Police fanyeni KAZI yenu acheni kusikia hawa watetezi WA panya road tena nendeni mbali zaidi wekeni intelligence mjue wanaonunua Mali za wizi za hawa panya road mkiwakamata na wenyewe Pigeni haswa.


Nchi haiwezi kunyoka Kwa kuchekeana hovyo.

Yani panya road akipiga MTU panga na kuua tunaona Sawa Ila Panya road akikamatwa na kuwekwa Bullet mwilini mwake watetezi mnakuja
Wanafki tu hawa, Kuna suki nilienda Amana hospitali usiku aisee nilikuta watu wamekula mapanga ya hao panya road aisee huwezi waangalia mara mbili, kuna miwatu humu nafikiri inanufaika na hawa panya road.
 
Tatizo na madogo nao wanafanya uhalifu at impunity level wanakata watu panga za USO kubaka na unyama mwingine WA kiboya
Ila approach inayotumika na police Tanzania si Sawa kazi ya police ni kuapprehend criminals na kuwaleta kwenye mahakamani kujibu kesi zao na hukumu kutolewa na mahakama , hii prejudicial killings and jungle justice tendency ni recipe for disaster inaweza tumika kama tool ya kuwaumiza na kuwakandamiza watu wengine ,nadhani tuliona mambo ya ovyo na unyama WA kutisha uliofanyika awamu iliyopita Chini ya magufuli na genge lake la akina sabaya ,Makonda ,mnyeti na washenzi wengine ,death squads za kuwinda , kutesa ,kuteka , kuua na kubambikizia kesi Kwa wapinzani na watu wengine wanaotofautiana na viongozi Kwa namna moja au nyingine .

Hii inayofanywa na police haifai ni approach mbaya Sana , nini Maana ya kuwa na mahakama ? Nini Maana ya kuwa na justice system , police waongezewe trainings na resources za kuchunguza uhalifu na kubaini wahalifu ,hasa issues kama forensics NK ili kazi ziwe zinafanyika Kwa ufasaha zaidi na si kubahatisha na kufanya witch hunts
nkukumbushe tu wahanga ni mimi na ww na sio polis , polis anafanya kukusaidia ww ,ila ww unawaonea huruma watu wasio na huruma na ww , labda kama ww ni mmoja wao
 
Uhalifu pia hauishi kwa kuuaua watu....
me nawahesabu nyiny mapanyaroad , yaan mnaua wezi wasiowazuru mtaani ila panyaroad ambae ni hatar kwa uhai unamtetea , kuna walakini hapa , ww ni LIPANYAROAD
 
Sitetei uhalifu,vnakataa POLICE kiruhusiwa kufanya KAZI ya mahakama.

Tufuate utawala wa Sheria, we huoni Hilo?

Hawa wanachukua pesa zetu Kwa nguvu kwenye miamala ya kibenki mbona hatuwauwi tunaviachia vyombo husika???[emoji34][emoji34][emoji34]
kawaambie na panyaroad watafute kwa haki , kama hujui tulia maana unaeza wekwa ndan , nmehama wilaya ya Temeke kwa sabab ya hawa wapumbav , huenda ukawa ni miongon mwao au huwajui
 
Wewe nae haueleweki. Hakuna mtu anayefurahia kuona hawa madogo wanadhibitiwa kwa style hii ila ndio namna rahisi iliyopo ya kuwanyoosha. Wewe unadhani vile wanavunja maduka ya watu hata mara 4 kwa wiki na kuacha majeraha na kudhuru watu kuwatia vilema ni jambo zuri?!


Sasa wewe jifanye mwanaharakati za binadamu. Hao vijana unaosema wanajivutia bangi na sio wahalifu wewe una uhakika gani na ushahidi upi namna wanayatumia masaa yao kwa siku?!

Hebu siku tukupeleke kwa watu wenye makovu ya mishono mwilini ujionee hao vijana walivyowatukutu na wasivyostaili kuachiwa waendelee kupumua.

Ugaidi huanza hivi hivi kwa watu kama wewe ambao haujawi pitia au kuexpirience shambulio la hawa wahalifu kutetea kuwa haki za binadamu zinakiukwa.

Kama ni haki yao kuishi pia basi ni haki yao kuishi kwa kuheshimu raia wengine na kutii sheria. Maisha ni magumu kweli na ajira ngumu ila sio excuse sasa yakuwa mhalifu na kudhuru watu wengine.

Hivi wewe mtu anaenyanyua panga na kumkata mtu asiyemjua na hajamkosea lolote kwasababu ana hasira ya ugumu wa maisha na analenga kumnyang'anya mali yake utakuwaje na huruma na mtu wa hivyo?!


Wewe subiria siku mkeo, baba au mama yako, kaka yako, dada yako itokee kashambuliwa na uvamizi wa hawa wahuni uone majeraha ya kukatwa mapanga vidonda vibichi vikitoka damu na mishono ya nyuzi sehemu za usoni ndipo utavuta picha ya ukatili uliofanywa na hawa jamaa na ndipo utajua kwann serikali kupitia jeshi la polisi wameamua kuwa aggressive na hao takataka.


Jambo lingine usije ukadhani askari wanaruka tu kuja kukamata vijana hovyo bila kuwa na background data. Mtoto wako kama ni muhalifu kila mtu atamuona kwa mwenendo wake na tabia na hata hao wahuni wanapokamatwa huwa wanataja wenzao. Ni ngumu muhuni kumtaja mtu asiyemjua na asiye na mazoea nae ambae hawashindi pamoja. Wanapo kamatwa na kutiwa mbaroni sura zao zinatia huruma sana unapowatazama utasema hawa vijana mbona wanaonekana ni waadilifu ni maisha ya kipato cha chini tu yanawapa muonekano mbaya sasa wewe ngoja ukutane nao eneo la tukio la uhalifu ndipo utajua kuwa shetani akimvaa mtu nini huwa kinatokea.

So funga tu bakuli lako na uwe muungwana kwa jamii yako. Nenda hospital ya temeke mwambie nesi naomba unionyeshe majeruhi wa matukio ya panya road then uone kama utaendelea kuongea haya maneno yako ya unafiki.
huyo jamaa ni mpuuz , naamin polis hawaui kimakosa wengi ni wahusika wa upanya road , ingekuwa polisi wanahotea bas mm ningekuwa marehem wiki iliyopita yote nlikuwa nachelewa kutoka job nafika chamaz mida ya saa 5 usk ila hawajawai hata nikunja shati , wakisema simama nasimama naongea nao nasepa
 
Kama kweli ni wahalifu(PANYA ROAD) au Majambazi basi "WALE VYUMA" tu hakuna namna.
sio kama kwel , ni kwel hao ni waharifu , nmehama wilaya ya temeke jana na nmekutana na polis mida ya saa 5 usk mara 5 ila sijawai hata kukunjwa shati , unashambuliwa incase ukitaka washambulia polis , hawa wanataka kuudanganya umma kisa ndugu zao panya road wamedhibitiwa
 
Panyarodi acha wauliwe kabisa,hawafaikabisa, wamemuua binti yetu pale Kawe ukwamani, waliwajeruhi watu wengi maeneo ya kunduchi na tegeta, jamaa mmoja walimkata mkono alikuwa dukani kwake
wamemuua jamaa mmoja chamaz alikuwa anarud kulala wakamlazimsha awabebe kukimbia polisi jamaa akakataa wakampiga mapanga mpk kifo
 
Yan kiufupi anamaanisha si jukumu la polisi kuyoa adhabu, ni jukumu la mahakama, sheria ndo inataka hivyo, kwenye sheria huwa wanasema ni vyema kuwaachia huru watu mia waliokuwa na makosa kuliko kumuadhibu mtu asiye na hatia, yani polisi wanapoamua kuchukua kundi la watu pasipo kufanyika uchunguzi ni dhahiri kabisa kunawatu wasio na hatia wataonewa, istoshe kama mtu amekamatwa anavuta bangi apelekwe maakamani na kuhukumiwa kwa kosa la kuvuta bangi na si polisi kujichukulia amri ya kuwaadhibu kwa kuwaua kitu ambacho si jukumu la polisi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
kwan nan hajui , jifunz kuuliza , huko chamaz tumekuwa tunasikia risas kila mara watoto wanawatunishia polis , polis wakifanya km unavyotaka wanakufa wao , saa 7 usk hata km ni kuvuta bangi ni uongo
 
Katika utangulizi wa PGO ya polisi ya Tanzania inasema hivi
Nukuu
i. INTEGRITY - Members will always maintain personal integrity in
all that they do, at work and at home.
ii. EXCELLENCE - Members will always pursue excellence for
themselves and the Force.
iii. FAIRNESS - Members will always treat all persons fairly.
iv. PRIDE - Members will take pride in themselves, the Force, and
their profession and shall always maintain their honor.
v. HONESTY - Members will always be honest; honest to
themselves, to their supervisors, and to the public.
vi. SERVICE - Members will always endeavor to provide the highest
level of service.
vii. COMPASSION - Members will always be compassionate.
......................................................................................
Operative Principles
2. Every member of the Force is duty bound at all times to respect rights and freedoms
as laid down in the Constitution of the United Republic of Tanzania 1977, Cap. 2 R.E. 22002
and the Constitution of Zanzibar 1984 (together hereinafter referred to as the “Constitutions” and
any other legal instruments in force. Any deviation from that principle by any police officer
against any person cannot be accepted except where:
(a) that person infringes the fundamental rights and freedoms of others; and
(b) it is the only way to protect the fundamental rights and freedoms of others.
Even in such exceptional cases, a police officer should ensure that such infringement
of those rights and freedoms is kept to a minimum.
3. Every member of the Force should take note that laws and regulations change from
time to time and therefore every effort must be made to promptly update oneself with such legal
development in the country particularly those that affect their day-to-day activities. The
Police headquarters will to the extent possible ensure Commanding Officers are adequately
updated on all legal developments in the country that affect police work.
Independence within the criminal justice system
4. Every member of the Force is required to take note of the principle of the
independence of the judiciary in the execution of his duties. The observation of the existing
demarcation of the responsibilities of the three main branches of the state helps to sustain
harmony and avoid unnecessary conflicts between the Force and other Government
functionaries.
6. The Force is vested with a limited number of quasi-judicial powers. Such powers
include the compounding of some offenses, admitting suspects to police bonds, issuing
warnings and notifications to traffic offenders, and revocation of lawfully issued permits or licenses
such as arms licenses and driving licenses. In exercising these powers every care should be taken
as decisions made thereunder may be contestable in legal proceedings. The legal rights and
remedies available to people affected by the exercise of the police quasi-judicial powers should
be adequately protected.
12. Confidentiality of informers and crime information is the essence of the public’s
confidence in cooperating with the police in the maintenance of law and order. No police, the
world over has ever been able to achieve much without properly endorsing this most important
public’s confidence in its members. Commanding Officers and all senior officers should
endeavor at ensuring the observation of this integral principle of police work.
Guiding principles regarding police action
13. Protection of life and property is the essence of the Force and this is realized through
the enforcement of the laws of the land without any discrimination. It is therefore the
responsibility of every member to guarantee members of the community of their equality before
the law irrespective of life status socially, politically, or economically by treating every person
with due dignity and respect.
14. Objectivity in police action should always be a guiding lead to any member as it
ensures fairness and impartiality. Any decision for police action by any member should be
reasonable and should avoid being carried away by any discriminatory factor such as nationality,
tribe or ethnic origin, political opinion, color, sex, race, language, religion, or social status.
15. Torture and any inhuman or degrading treatment to any person by any member of the
The force under any circumstances is totally intolerable. In any dealings with the public, every
member should accord deserving respect and dignity as required by the circumstances.
16. The use of force by any member of the Force will only be acceptable to the extent
considered necessary to achieve a legitimate objective. Every member shall therefore apply force
in performing his duties only when absolutely necessary and only to the extent needed to attain
the lawful objective.
...............................................................................................
Specific cases - Police investigations
19. The purpose of police investigations is generally to unveil all facts relating to
the information of a reported or imminent crime incidence for appropriate decision and action. Civil
matters are not a concern of the Force unless they are a crime incidence appendage and as such
civil matters should not be subject to police investigations. In some cases, police are directed by
courts of law to oversee the execution of a court order or decree arising out of civil matters to
ensure law and order. In any case, civil matters brought to the police for investigative action shall
courteously be redirected to the courts where remedies can be obtained. Every member of the
Force should therefore desist from involving in investigations in civil matters.
20. The guiding principle in all police investigations should be the presumption of
innocence. Basing police investigations on any other presumption will normally not lead to
uncovering the truth of the matter under investigation and hence the delivery of appropriate
justice.
21. Crimes are actions defined as such by the laws. Police investigations must adhere
strictly to the relevant laws. It is emphasized that wherever police investigations involve
vulnerable groups of the community the applicable laws should strictly be adhered to.
22. Interviews and interrogations of witnesses, suspects, and accused persons shall be
carried out in strict compliance with the relevant guidelines in these orders. It is hereby emphasized
that records of all such interviews and interrogations should be appropriately kept.
23. Rights and specific privileges of witnesses, suspects, and accused persons shall at all
times be protected.
24. Every member shall render any necessary support and assistance to victims of crimes.
25. Any needs for translators and interpreters arising during police investigations shall be
adequately addressed.
Specific cases - Arrest/ deprivation of liberty by the police
26. Arrests involve the deprivation of a person’s freedom and liberty and as such shall be
carried out with all due care and diligence. All guidelines relating to arrests stipulated in these
orders shall be strictly adhered to.
27. Every member shall observe the right of an arrested person to be informed of the
reasons for his/her arrest in a clear language subject to obtaining circumstances.
28. The safety of a person under the custody of police is the responsibility of the arresting
officer and any other officer under whose charge the arrested person is placed.
29. The rights of communication of an arrested person as detailed in these orders shall be
strictly observed by all members of the Force

Specific cases - Respect for private life and other rights
30. Members of the Force are strictly prohibited from infringing any person’s rights to
private and family life including homes and correspondences. Infringement of this right is only
acceptable where there exist specific lawful grounds and even in such cases, it is emphasized that
the infringement must be kept to a minimum.
31. The rights of an individual include his personal data and as such the collection,
storage and use of such data by any member of the Force shall be limited to what is necessary for
the attainment of specific lawful objectives.
32. Every member of the Force shall at all times respect an individual’s right to
freedom of opinion, conscience, expression, peaceful assembly, movement, and peaceful
enjoyment of property. Infringement of these rights will be acceptable only in specific legitimate
circumstances laid down in the laws and amplified by these orders.
Specific cases - Use of Firearms
33. The use of firearms tends to conflict with the essence of the Force of protection of
life. It is for this reason that every member of the Force is called upon to attain the highest
degree of proficiency in the use of firearms and the orders regulating such use.
34. It is the responsibility of every Commanding Officer and senior officer to ensure
members under their charge are appropriately instructed on the correct use of arms in the
performance of police duties.

*Wajielekeze katika mwongozo wao huo kwa kuzingatia sheria bila kutumia mwanya wa uharifu kufanya kinyume chake.
unanufaika na nini kutetea waharifu wazid kuwa hai , au wamekuajili kupotosha umma , unaona uhai wa watz million 60 si kitu kwa hao panyaroad 100 , NINA MASHAKA NA WW , UTAKUWA NI MTANDAO ULE ULE
 
Back
Top Bottom