Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

sijawai ona ukitetea wez wasichomwe moto ila upo hapa kutetea watoa roho za watu , unanufaikaj mwenzetu Mwakipesile ?
 
na ndo wanawataj sasa hv kwa kuwakatisha uhai kbs ili wasirud tena mtaan , kaish vingunguti majina yao utayasikia tu
 
Ni kweli nikikumbuka mauaji waliyofanya dhidi ya Yule kijana Kule Mtwara naumia Sana ,majitu yanaua na kupora sasa Yana tofauti gani na panya road ?
duh una akili fupi so unawashaur polisi wawaache hao panya road kisa wao waliua mtwara , sio ? kwan polis wa mtwara ndo hawa wanadhibiti panya road hapa dar ? Wabongo tuna ttzo kubw sana la kuchanganya mafaili
 
Wewe unaonesha unatetea hata ushoga.

Hao unaowatetea, panyarodi, wao wanatazama haki za binaadam?
 
Hao panya road wakiua na kujeruhi watu wasio na hatia, nyie watetezi uchwara wa haki za binadamu huwa mnakuaga wapi ?!!
 
Bado hujajua kitu! Jifunze kwanza
 
Mkuu hata wewe jiangalie sana, epuka hayo makundi unayozurula nayo hata wewe unaweza kukanyagwa shaba tu sisi hatuangalii
 
Hao panya road siku ukikutana nao utarudi hapa kuedit huu uzi wako. Omba usikutane nao.
 
Msirudishe watu enzi za ujima kwa kuwapangia wafanye mambo yao mchana tu.
 
Msirudishe watu enzi za ujima kwa kuwapangia wafanye mambo yao mchana tu.
Hawa watu wana stress.
Kwenye katiba hakuna mahali imekataza kukusanyika, kutembea usiku na hakuna mahali polisi anaruhusiwa kumuua mshukiwa wa uvutaji bangi.
Watu wamelelewa kihuni ndio maana wana roho mbaya kutaka wenzao wafe
 
Hawa watu wana stress.
Kwenye katiba hakuna mahali imekataza kukusanyika, kutembea usiku na hakuna mahali polisi anaruhusiwa kumuua mshukiwa wa uvutaji bangi.
Watu wamelelewa kihuni ndio maana wana roho mbaya kutaka wenzao wafe
Kweli tuna Roho mbaya ila lazima panyarodi wapelekwe kwa Sir God

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…