Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Sasa askari anapofika kijiweni, anawaambia masela mpo chini ya ulinzi. Masela wanamwaga mbio huku wakijua kuna operation kamata kamata. Kama ni raia mwema kwa nini ukimbie?! Ni shaba tu!!Kuua siyo ishu nzuri, wawakamate na kuwapeleka Mahakamani wakienda jela wakafanyishwe kazi ngumu maisha wapewe kesi za uhaini tu (Treason)
Wakiwaachia hao kama sio panya road wa leo basi wa kesho. We hujafikwa na mkasa, fikilia umepumzika kwako mara mlango pa! Mala mapanga, kifo!!
Hakuna muda wa kucheza na vibaka. Na kwa nini ukakae kijiweni bila kazi. Yaani ilitakiwa wasio na shughuli ya kufanya mtaani zoa wote peleka shamba litakaloanzishwa na serikali wakalime. Tusilee wanyonyaji