Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
Tatizo ni hizo Tambo mtaani baada ya kuipata hiyo dhamana na anatishia kabisa kwamba atadill na nyie mliyemkamataKama kosa linadhaminika ni haki yake kupata dhamana ila mwisho wa siku kesi itaenda mahakamani na hpo vifungu vya sheria ndio vitatumika na sio hisia mkuu.
Kwa Nini kidole cha kati[emoji44]Sisi tumepanga mtaani kwetu tutakayemkata sasa hivi tunakata vidole vyote vya miguu, na vya mikononi tunamuachia kidole cha kati... kisha tunamwacha...
Tumetangaza kabisa hivyo atayeiba anaijua adhabu yake...
Tumeamua tumuachie kumbukumbu akakilingishie kwa watu...Kwa Nini kidole cha kati[emoji44]
Wanakera, fikiria umepambana umejinyima walau ukafanikiwa kununua kitu chako Cha thamani halafu eti linakuja jitu lisilojua taabu ulizopata halafu likuibie na kukujeruhi juu asee nadhani hayajakukuta badoTofautisha kuvamiwa na self defense! Hapo kama umeua ilikuwa ni self defense. Ila sasa mmemkamata yanini kuanza kumbonda mawe hadi kifo ndio swali langu?
Duuu! Kwa Nini isiwe hata dole gumbaTumeamua tumuachie kumbukumbu akakilingishie kwa watu...
Tutamuachia kidole cha kati Ili huko atakapokuwa awe mwangalifu anapopungia watu mkono...Duuu! Kwa Nini isiwe hata dole gumba
Wewe ni kati yao una watetea kwa sababu gani kama sio mwenzao? unajua machungu ya kuibiwa lakini?Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good. Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo. Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?
Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka walimwengu ni makatili sana.
Bora watambe maana wakirudi lazima wamalizane na mashahidi wote nakufanya watu waiishi kwa hofuNa hili ndio tatizo kubwa Tena wanatamba wanasema hakuna wa kuwafanya chochote
Mkuu, kibaka anatembea na bisibisi, kukutoboa utumbo ni sekunde tu hapo anabahatisha elfu kumi mfukoni kwako. Ukipona hapo shukuru Mungu. Hao ndo panya road. Wanavamia mara wabake mara waue watu wasio na hatia. Vibaka Wakipelekwa polisi wanatoka kwa dhamana kesi imeisha ndo maana wananchi hawaelewi. Sitetei yeye kuuwawa ila usiombe ndugu yako akutwe na kibaka chobingo wamkabe wamuue maumivu yake hutoweza kueleza. Kikubwa warudi vijijini wakalime. Kukaa mjini watazidi kudokoa watauwawa.Nazungumzia hayo mateso waliyompa na sitayari wamemkamata? Kwanini wakoroge.cement wamnyweshe? Kwanini wamfunge mikono wamwagie petrol na kumchoma sio haki kabisa! Acha kutetea unyanyasaji wa kibinaadamu.
(Luka 6:37-38, 41-42)SI kweli,
Kasome maeneo ya huo mstari
Mstari niliotoa ni WA kipindi Cha Musa na Torati ilikuwa ni kuuwawa tu kama ilivyo Sheria ya kunyongwa kwenye baadhi ya nchi.(Luka 6:37-38, 41-42)
1“Usihukumu ili usije ukahukumiwa. 2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
3“Mbona unatazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? 4Au unawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Acha nitoe kibanzi kwenye jicho lako,’ wakati kuna boriti kwenye jicho lako mwenyewe? 5Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako.
6“Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande.
Wewe ndiye uache uwiziNdio muache tabia za wizi sasa ili msikutane na wananchi wenye hasira kali.
amadalaMstari niliotoa ni WA kipindi Cha Musa na Torati ilikuwa ni kuuwawa tu kama ilivyo Sheria ya kunyongwa kwenye baadhi ya nchi.
Ujio wa Kristo umebadili Kila kitu👇
Lakini sasa katika agano jipya la Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo..wanadamu hatujapewa tena mamlaka ya kuhukumu kutoka kwa Mungu, kama wana wa Israeli walivyopewa amri ya kuhukumu na Mungu mwenyewe. Hatuna tena hukumu ya jino kwa jino, jicho kwa jicho, mguu kwa mguu, Wakati huu wa sasa wa agano jipya, Hukumu yote amekabidhiwa Yesu Kristo
Hujawahi kuibiwa wewe, siku ukiibiwa nahisi wewe ndo utakuwa mtu wa kwanza kutafuta kidumu cha wese lq kumchomeaHabari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good.
Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.
Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo? Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?
Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka, walimwengu ni makatili sana.
Wewe uliibiwa lakini hujawahi kusafishwa na wezi, utakuja kunadili msimamo wako japo wapo watu wenye roho mbayaNimewahi kuibiwa ila siwezi tesa mwizi kiasi hicho. Lazima uwe na huo moyo wa ukatili kwanza. Kama ule wa kumchoma mtoto mikono kwa kuiba mia mbili na kununulia mihogo.
Huo ukatili lazima uwe nao kwanza, usisingizie eti kisa umeibiwa. Ni kama yule anayemlawiti mwanaume aliyemfumania na mkewe. Huyo ni kawaida yake kuwala machoko.