Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

Nina mfano hai mwizi kavunja mlango kamjeruhi dada wa watu kaiba simu na fedha kakamatwa kapelekwa polisi haikupita hata masaa ma3 yupo mtaani tena anaongea mbovu hatari

Niambie siku akikamatwa Tena wanachukua hatua gani
Kama kosa linadhaminika ni haki yake kupata dhamana ila mwisho wa siku kesi itaenda mahakamani na hpo vifungu vya sheria ndio vitatumika na sio hisia mkuu.
 
Lenie kwahyo vyombe vyote vya dola vipo kama polisi na mahakama lakini kwenda huko hutaki is it fair kweli?
Polisi na hivyo vyombo vya dola vingekua vinafanya kazi yake kwa umakini trust me hawa vibaka wasingekuwepo mtaani na wasingetesa watu.

Hadi unaona wananchi wanafanya hayo basi wamechoka, haki hamna rushwa imetawala so wacha raia wajilinde tu wenyewe
 
Ukikamata mwizi mfunge kwenye mti mkubwa na waya kenchi kisha mwaga petroli ya buku kwenye nguo. Tieni kiberiti kisha msamba.

Ataungua dk 10 kisha anaendelea kusikilizia utam kwa masaa mawili ndipo anakata moto.
Duuuuuuuuuu!
 
Polisi na hivyo vyombo vya dola vingekua vinafanya kazi yake kwa umakini trust me hawa vibaka wasingekuwepo mtaani na wasingetesa watu.

Hadi unaona wananchi wanafanya hayo basi wamechoka, haki hamna rushwa imetawala so wacha raia wajilinde tu wenyewe
Unajua consequences za kujichukulia sheria mkononi Lenie my dear?
 
Kwahyo kuutoa uhai wa binaadamu mwenzako kisa amekuibia na umemkamata unaona ni sawa? Wewe binafsi yako hujawahi kuiba tangu uzaliwe? Au kwasababu hujakamatwa ndio maana unaropoka!
Kwa hiyo ukivamiwa na mwizi ukafanikiwa kumkamata utamwambia nenda Kwa amani nimekusamehe? Ujue na yeye kajipanga Kwa lolote lakini
 
Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good. Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa.

Wamekoroga cement na kumlazimisha ainywe mbaya zaidi wamemfunga kamba mikono na kuimwagia petrol kisha wakaichoma moto, jamani sio uungwana hata kidogo hii ni jamii ya namna gani ya kutesa wezi na vyombo vya sheria vipo. Mbona jamii imekuwa na watu katili kiasi hiki?

Tukataeni unyanyasaji wa aina yoyote ile katika jamii zetu. R.I.P kibaka walimwengu ni makatili sana.
Siku wakikuibia ndio utajua kwa nini wanafanyiwa hivyo... nikikamata mwizi sijisumbuibkumpeleka polisi, tunadiki nae wenyewe..
 
Kwa hiyo ukivamiwa na mwizi ukafanikiwa kumkamata utamwambia nenda Kwa amani nimekusamehe? Ujue na yeye kajipanga Kwa lolote lakini
Kesi lazima ifike mahakamani na ahukumiwe kwa haki na sio kumuua hapana! Kwangu kuutoa uhai wa binaadamu mwenzangu no aiseeh!
 
Ukimnywesha zege shughuli imeisha, zege halilali... likiganda na mtumo wake lazima ugande nalo..
 
Kesi lazima ifike mahakamani na ahukumiwe kwa haki na sio kumuua hapana! Kwangu kuutoa uhai wa binaadamu mwenzangu no aiseeh!
Sisi tumepanga mtaani kwetu tutakayemkata sasa hivi tunakata vidole vyote vya miguu, na vya mikononi tunamuachia kidole cha kati... kisha tunamwacha...
Tumetangaza kabisa hivyo atayeiba anaijua adhabu yake...
 
Kujilinda kujilinda kujilinda siwezi kuchekea eti kisa naogopa kujichukulia sheria mkononi ilhali umenivamia na unaweza kunidhuru
Tofautisha kuvamiwa na self defense! Hapo kama umeua ilikuwa ni self defense. Ila sasa mmemkamata yanini kuanza kumbonda mawe hadi kifo ndio swali langu?
 
Fikiria ungekuwa mzazi wa yule mwanafunzi wa UD, aliyeuwawa na panyaroad
Ungekuwa miongoni mwa wahanga waliojeruhiwa na panyaroad
Usingeongea hayo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
May he soul rest in peace 🕊️
Swali langu ni kama umemkamata kwanini umue?
 
Back
Top Bottom