Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
 
Hivi nguvu za kupost ujinga wa namna hii unatoa wapi ,badilika , ulimwengu utakufunza makubwa ,zama zinabadilika kwa kasi sana ,tunza hii asema Bwana
 
Pole pole
Gwajima

Hawa wote sifikirii kama wanaweza kukosa pesa ya kula na kuendesha maisha yao .
gwajima ni kapuku wa kisiasa na kiuchumi pia, ndio maana anajificha wakati hatafutwi

wewe unatoa maoni yako, kulikoni ujifiche? ndio maana hakuna anaebabaika nae, mitandao ya kijamii imemback up but imeona ni nonsense, imetulia sasa 🐒
 
Shingo yako ina mzigo mzito wa kubeba bichwa lililokosa akili..!!
hii shingo nimebeba sana gunia za mahindi na alizeti ndugu mdau,

na ndio maana kichwa yangu inaeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

gwajima kajificha wiki moja tu na wakati hatafutwi, alipojitokeza ameonekana kazeeka sana kama sadam hussein wa Iraq 🤣
 
Sio ukosefu wa uwasilishaji wa hoja na uaminifu?
unaelewa walau kati yao pangekuepo moja wao ana financial muscles, then wangejitokeza kwa ujasiri mchana kweupe kufanya harakati zao za kuvuruga amani na utulivu hususani ndani ya vyama vya siasa.

ni kwasababu wote hawana kitu ndio maana kila moja anajaribu kuibua maoni yake akiwa mafichoni, kwavile hawaamini wenzie ikiwa wanaweza kumuokoa likitikea la kutokea.

wanawasilisha hoja vizuri ila kwa kwa kufanya mistakes na plunders nyingi mno za kisiasa 🐒
 
Watanzania 70% ni maskini, 10%mafukara, 15% wasakatonge ni 5% ndiyo wanaofaidi keki ya Taifa.

Sasa maskini atamcheka maskini mwenzake ama atamuona ni mkombozi?
 
Attachments

  • IMG_20250725_141505_7.jpg
    IMG_20250725_141505_7.jpg
    290.8 KB · Views: 27
Watanzania 70% ni maskini, 10%mafukara, 15% wasakatonge ni 5% ndiyo wanaofaidi keki ya Taifa.

Sasa maskini atamcheka maskini mwenzake ama atamuona ni mkombozi?
yaani umeshindwa kujikomboa kiuchumi wewe mwenyewe halafu eti unakuja kuhadaa wananchi eti wewe ni mtetezi wao na huna hata nauli ya kurudi kwenu 🤣
 
Ukombozi wa watanzania hautegemei fedha toka mifukoni mwa wapinzani bali Kodi zao.

Hao viongozi wa sasa mbona walikuwa ni maskini tu hadi wanajiita "mtoto wa mkulima".
 
Hivi nguvu za kupost ujinga wa namna hii unatoa wapi ,badilika , ulimwengu utakufunza makubwa ,zama zinabadilika kwa kasi sana ,tunza hii asema Bwana
ujinga ni kujifanya mtetezi wa wananchi kisiasa, wakati umeshindwa kujikomboa mwenyewe kiuchumi .

una ombaomba kuchangiwa pesa za nauli na kijikimu,

kwendra dhako huko na utapeli wako 🤣
 
Nyrerere alichangiwa na Kina Mzee Rupia, Skye's, Aikaeli Mbowe na wengine ndiyo akaenda UNO na Lancaster kudai uhuru wa Tanganyika.
 
Ukombozi wa watanzania hautegemei fedha toka mifukoni mwa wapinzani bali Kodi zao.

Hao viongozi wa sasa mbona walikuwa ni maskini tu hadi wanajiita "mtoto wa mkulima".
una cha kujifunza hapo,
kwamba hata mto wa mkulima au muuza kuku anaweza kua kiongozi. Na anatamani kua kiongozi kwa kujikomboa kiuchumi kupitia kilimo, na kwahiyo huyo anaweza kuaminika kwa wananchi.

sasa jitu limetokea huko halina historia yoyote ngumu ya mapambano, haliwezi kujitegemea kivyovyote vile, alina omba omba kuchangiwa pesa kila siku akukutana na wananchi nikulia njaa tu 🤣

eti ndio mtetezi wa wananchi 🤣
 
Back
Top Bottom