Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Lakini ccm wote uchumi wao ni wa kifisadi na kuihujumu Tanzania
huna haja ya kuhamisha mijadala gentleman,

kama hujaweza kujikomboa mwenyewe kiuchumi, kamwe hutoweza kuwakomboa wananchi kisiasa.

Hapana kuwatapeli wananchi pesa zao kijanja janja, ni muhimu zaidi kujitegemea kiuchumi kabla hujaingia kwenye siasa 🐒
 
Viongozi wa upinzani hawauzi unga wala kukwepa kodi kama wa ccm, hivyo usitegemee wawe na hela za kutapanya. Ww jiandae kesho na mkutano wa kustukiza mpewe mabadiliko ya katiba na wajanja.
waTanzania ni wakulima na wafanyakazi. Hizo ndizo shughuli za kiuchumi wanazotumia kujikomboa kiuchumi na sio kuomba omba kuchangiwa pesa kama wanavyofanya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini.

wanaofanya mikutano wafanye kwa uhuru maana ni haki yao kikatiba na wasio husika hawana sababu hata moja ya kuweweseka na mambo yasiyo wahusu 🐒
 
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania

Dharau ni kwa wale wanaotumia pesa za walala hoi kununua kofia za kijani!
 
waTanzania ni wakulima na wafanyakazi. Hizo ndizo shughuli za kiuchumi wanazotumia kujikomboa kiuchumi na sio kuomba omba kuchangiwa pesa kama wanavyofanya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini.

wanaofanya mikutano wafanye kwa uhuru maana ni haki yao kikatiba na wasio husika hawana sababu hata moja ya kuweweseka na mambo yasiyo wahusu 🐒
Uwe mkulima na mfanyakazi upate hela za kuhonga? Unaumwa ww.
 
Uwe mkulima na mfanyakazi upate hela za kuhonga? Unaumwa ww.
una ombaomba kuchangiwa pesa halafu eti ng'we ng'we ng'we unataka kuwasaidia watu kisiasa?

huwezi kujisaidia mwenyewe kiuchumi halafu una hadaa wananchi eti utawasadia kisiasa. Labda kuwasaidia malofa, vibaka na matapeli wenzio🐒
 
🤣 🤣 hio hio
yaani watu wameshindwa kujikomboa wao mwenyewe kiuchumi alafu eti wanawahadaa wananchi kwamba eti wana uwezo wa kuwakomboa kiuchumi.

hii ni hadaa na dharau kubwa sana kwa wananchi 🐒
 
Dharau ni kwa wale wanaotumia pesa za walala hoi kununua kofia za kijani!
mtu ambae hawezi kujikomboa mwenyewe kiuchumi, kamwe hataweza kuwakomboa wananchi kisiasa.
wanaharakati vibaka na matapeli wa kisiasa nchini waache kuwahadaa wananchi 🐒
 
huna haja ya kuhamisha mijadala gentleman,

kama hujaweza kujikomboa mwenyewe kiuchumi, kamwe hutoweza kuwakomboa wananchi kisiasa.

Hapana kuwatapeli wananchi pesa zao kijanja janja, ni muhimu zaidi kujitegemea kiuchumi kabla hujaingia kwenye siasa 🐒
Hata ccm hawajawahi kujikomboa huwa wanaanza kuwa machawa kama wewe huku wakiambulia hela ya bando wenye ambao watakubali kuuza zaidi utu wao na kutoa rushwa na ngono na wengine wamelatiwa ndo wanapata teuzi kisha wanafanya ufisadi ya kutisha kama mwigulu
 
Back
Top Bottom