Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

una ombaomba kuchangiwa pesa halafu eti ng'we ng'we ng'we unataka kuwasaidia watu kisiasa?

huwezi kujisaidia mwenyewe kiuchumi halafu una hadaa wananchi eti utawasadia kisiasa. Labda kuwasaidia malofa, vibaka na matapeli wenzio🐒
Kuwapa watu pesa si kuwasaidia kisiasa. Ukiwa kwenye siasa unakuwa mtumishi wao, kodi za wananchi ndio zinawapatia huduma sio msaada. Usilete tafsiri zako potofu za kiccm kwenye siasa. Nasisitiza tena, cdm haina viongozi wauza unga ama wakwepa kodi, hivyo hawana pesa za kutapanya. Wao lengo lao ni kuwatumikia wananchi kisiasa na si kuwasaidia. Kuwasaidia ni lugha za matapeli wa ccm.
 
jikwamue kwanza kiuchumi ndipo uwe na haki ya kujimwambafai kwamba unaweza kuwakomboa wananchi kisiasa.

hakuna haja ya utapeli wa pesa na kuwafanya wananchi kitega uchumi chako,

acha kua kibaka wa siasa 🐒
 
Ujikomboe kwa kuuza unga ama kukwepa kodi?
 
Hata ccm hawajawahi kujikomboa huwa wanaanza kuwa machawa kama wewe huku wakiambulia hela ya bando wenye ambao watakubali kuuza zaidi utu wao na kutoa rushwa na ngono na wengine wamelatiwa ndo wanapata teuzi kisha wanafanya ufisadi ya kutisha kama mwigulu
huna haja kusingizia vyama vya siasa wala kuropoka mambo yaliyo nje ya hoja.

vibaka na matapeli wa kisiasa ni muhimu sana kwanza wajikomboe kiuchumi, ndipo wataamunika na wananchi katika harakati za kujikwamua kisiasa 🐒
 
kufanya kazi za kilimo kwa bidii na sio kutapeli wananchi kwa kuombaomba kwa kujifucha kwenye siasa 🐒
Huwezi kulima ugawe hela kama viongozi wa ccm. Ukiuza unga au kuwa jizi wa fedha za umma, ndio unaweza kugawa hela ili kutengeneza mapenzi fake kwa wananchi.
 
mapenzi na siasa wap wap, we mzee unazeeka vibaya
 
Huwezi kulima ugawe hela kama viongozi wa ccm. Ukiuza unga au kuwa jizi wa fedha za umma, ndio unaweza kugawa hela ili kutengeneza mapenzi fake kwa wananchi.
ukiweza kujikimu kujikomboa na kiuchumi sio tiketi ya wewe kugawa pesa, bali kukuwezesha wewe mwanaharakati kufika maeneo mengi zaid na kuwafikia wananchi wengi zaid bila kuwatapeli pesa zao.

pesa zikusaidei kuacha utapeli na kuombaomba kuchangiwa pesa mara kwa mara 🐒
 
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • Screenshot_20250725-185609~2.png
    Screenshot_20250725-185609~2.png
    1 MB · Views: 21

IMG-20250725-WA0107.jpg
 
Hakuna mwanaccm yoyote aliyejikomboa kwa kipato halal
hiyo ni dhana potofu ambayo imewafanya wanasiasa wengi vibaka na matapeli wa kisiasa, kubaki kwenye lindi la umaskini wa kiuchumi, huku wakijidanganya kwamba wao ni watakatifu wasiotakiwa kufanya kazi bali kuchangiwa pesa za matumizi na wananchi.

huo ni ulofa wa kiwango cha juu zaidi katika siasa gentleman 🐒
 
una cha kujifunza hapo,
kwamba hata mto wa mkulima au muuza kuku anaweza kua kiongozi. Na anatamani kua kiongozi kwa kujikomboa kiuchumi kupitia kilimo, na kwahiyo huyo anaweza kuaminika kwa wananchi.

sasa jitu limetokea huko halina historia yoyote ngumu ya mapambano, haliwezi kujitegemea kivyovyote vile, alina omba omba kuchangiwa pesa kila siku akukutana na wananchi nikulia njaa tu 🤣

eti ndio mtetezi wa wananchi 🤣
Tofautisha vitu 2, mtetezi na msemaji wa wananchi. Mwanasiasa anatakiwa awe msemaji wa wananchi na sifa kuu lazima afanane nao hasa kimapato. Tajiri ama fisadi hawezi kuwa msemaji wa wananchi.
Gentleman tupo pamoja, sasa tujiandae na kikao
 
hiyo ni dhana potofu ambayo imewafanya wanasiasa wengi vibaka na matapeli wa kisiasa, kubaki kwenye lindi la umaskini wa kiuchumi, huku wakijidanganya kwamba wao ni watakatifu wasiotakiwa kufanya kazi bali kuchangiwa pesa za matumizi na wananchi.

huo ni ulofa wa kiwango cha juu zaidi katika siasa gentleman 🐒
Hiyo sio dhana potofu taja mwanaccm hata mmoja aliyejikomboa kwa kipato halali
 
Hawatoi rushwa sio? Rushwa ipo sisiemu na kwa abudula hawa wanapigania haki za wanyonge wezao toka kwa mkoloni mweusi, kwani Nyerere, Kaunda, Nkhuruma, Kenyatta, na Mandela walikua na ukwasi?

Uvisisiemu huwa mnasomea wapi huu ujinga? Shule hizihizi za mama?

Mbona hoja zetu ni za kibinafsi na kifisadi sana? Ndio mana mkipata na uteuzi mnakua fisi mnakula mpaka mifupa na rangi ya bucha
 
Back
Top Bottom