Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Unyonge wa kiuchumi umefanya wanasiasa wa upinzani kudharauliwa na wananchi

Hawatoi rushwa sio? Rushwa ipo sisiemu na kwa abudula hawa wanapigania haki za wanyonge wezao toka kwa mkoloni mweusi, kwani Nyerere, Kaunda, Nkhuruma, Kenyatta, na Mandela walikua na ukwasi?

Uvisisiemu huwa mnasomea wapi huu ujinga? Shule hizihizi za mama?

Mbona hija zetu ni za kibinafsi na kifisadi sana? Ndio mana mkipata na uteuzi mnakua fisi mnakula mpaka mifupa na rangi ya bucha
wote walijitegemea kiuchumi hapakuwepo ombaomba kuchangiwa pesa kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni very weak financially kwasabb ya uvivu wao kazi yao kubwa ni kubuni namna ya kuwatapeli wananchi pesa zao 🐒
 
Tofautisha vitu 2, mtetezi na msemaji wa wananchi. Mwanasiasa anatakiwa awe msemaji wa wananchi na sifa kuu lazima afanane nao hasa kimapato. Tajiri ama fisadi hawezi kuwa msemaji wa wananchi.
Gentleman tupo pamoja, sasa tujiandae na kikao
uliskia wap maskini anamkomboa makini mwenzie zaid ya kubebana ufala wa kifikra na kupeana matumaini hewa na kupotoshana?🐒
 
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe na hofu ya kujitokeza hadharani na kutoa maoni yao, lakini pia hilo ni jambo linalowafanya wasiaminike kwa wananchi na badala yake wanaonekana ni waganga njaa tu waliopoteza uelekeo.

Hawawezi kukusanyika au kuungana pamoja kwasababu ya uoga ulio ndani yao na kwamba hayupo kati yao mwenye uwezo wa kiuchumi wa kumuokoa au kumsaidia kitu mwingine endapo litatokea lolote juu yake.
Fear of unknown imewazonga.

Hawajiamini ndio maana wanasema wanayoyasema wakiwa mafichoni.
Wamekua kama EU wanavyomuogopa Vladimir Putin.

Wanategemea sana public sympathy ili kuendelea kua relevant katika siasa na kujaribu kujipa u saint katika medani ya siasa.

Hawana uwezo wa kujitegemea na kusonga mbele bila kuwapiga vizinga vya hela wananchi kwenye mikutano ya kisiasa, kitu ambacho kimewafanya wananchi hao kushtuka na kusita kuwaunga mkono wanaharakati hawa waropokaji, wabishi wenye viburi.

Wananchi wamegutuka na wanajiuliza, hivi, waropokaji hawa wanaopiga kelele eti wanatetea haki za wananchi, mbona hata sura zao, mavazi yao, na hata afya zao vinaashiria na kuonyesha wazi kabisaa kwamba mtu watu hawa wana njaa na kiu, na huenda wakawa hawna hata kumi mbovu mfukoni, na ni dhahiri hata baada ya mikutano yao ya hadhara wataomba kuchangiwa pesa za nauli na pesa ya kujikimu?

Na hivi sasa
wananchi wengi maeneo mballimbali nchini, wanaulizana, kwanini wanaharakati hawa wabishi wa siasa nchini , wasifanye jitihada na mapambano ya kujikomboa kwanza wao wenyewe kiuchumi, ndipo sasa waweze kuaminika kwa wananchi na wawe na nguvu zaidi ya kujitegemea katika kutetea wananchi?

Ukapuku wa kiuchumi umewafanya wanasiasa za harakati kudharauliwa na kupuuzwa na wananchi.
Ni wazi wanaonekana ni vibaka na matapeli waganga njaa wanaojificha kwenye koti la siasa.

Epuka utapeli wa wanaharakati uchwara wa siasa nchini.
Mungu Ibariki Tanzania
Mimi wakisema watakuwa wanalipa 20 kwa siku badala ya hiyo buku 7 wanayowalipa siwezi kuandika huu ujinga. Kuna vitu vingine bora hata ufe njaa kuliko kuvifanya. Ujinga kama huu ndiyo upelekea watu wanakiwa mashoga kuogopa njaa
 
hivi kwanini ukilemewaga na hoja hua unaweweseka na kuropoka utadhani mapepo yamekupanda?

au una mapepo gentleman ?🐒
 
tuachane na huyo,
tumia mifano ya akina Juma aweso, akina JK, akina sumai, warioba, butiku n.k 🐒
Wote matepeli tu isipokuwa warioba tu hao wote tunajua jinsi gani walivyokuwa mahohehahe na kujipatia ukwasi baada ya kuingia ccm na kupata madaraka sema wewe kapuku na chawa wao huwezi jua wewe unafudishwa uzaelendo wa kuwa chawa mwaminifu tu
 
wote walijitegemea kiuchumi hapakuwepo ombaomba kuchangiwa pesa kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni very weak financially kwasabb ya uvivu wao kazi yao kubwa ni kubuni namna ya kuwatapeli wananchi pesa zao 🐒

Unafikiri karne hii bado kuna mtu wa kubeba propaganda mfu hizi kijana? Jaza server tu na matope yako aina ya samadi haya ukalipwe upate choo
 
Unafikiri karne hii bado kuna mtu wa kubeba propaganda mfu hizi kijana? Jaza server tu na matope yako aina ya samadi haya ukalipwe upate choo
umekurupuka na mihemko yako gentleman na huna hoja,

kapuku wa kiuchumi hawez kua mkombozi wa kiuchumi hata kwa ramli 🐒
 
hivi kwanini ukilemewaga na hoja hua unaweweseka na kuropoka utadhani mapepo yamekupanda?

au una mapepo gentleman ?🐒
Sasa wewe una hoja gani zaidi ya uchawa na ujinga tu. Hata kama una njaa linda sana utu wako
 
Back
Top Bottom